Kwakua wote wametaja jina la muvi mimi nitataja scene. Dialogue hii inatoka kwenye scene ambayo Steve na Sam walikamatwa nadhani ni baada ya lile pambano la darajani ambapo steve aligundua winter soldier ni bucky so akabaki anashangaa then wakakamatwa wakawa wanapelekwa kwenye dentention facility kumbe askari alikua ni imposter Maria Hill. Baada ya hapo walienda mafichoni ndio wakakuta kumbe Fury hajafa ndio wakaongea hayo.HII DIALOGUE IMETOKEA KWENYE MOVIE IPI YA Marvel?
Steve Rogers: We're taking down S.H.I.E.L.D
Maria Hills: We need to link all three carriers for this to work, because if even one of those ships remains operational, a whole a lot of people are gonna die.
Nick fury: We have to assume everyone aboard those carriers are HYDRA. We have to get past them, insert these server blades. And maybe, just maybe we can salvage what's left...
Steve Rogers: We're not salvaging anything. We're not just salvaging the carriers, Nick. We're taking down S.H.I.E.L.D.
Nick fury: S.H.I.E.L.D. had nothing to do with this..🤨
Steve Rogers: You gave me this mission. This is how it ends.🙁 S.H.I.E.L.D's been compromised. You said so yourself. HYDRA grew right under your nose, and nobody noticed!
Nick fury: Why do you think we're meeting in this cave? I noticed!
Steve Rogers: How many paid the price before you did? SHIELD, HYDRA, it all goes!
Maria Hills: he's right 😏.
Nick fury: 😳
Natasha: 🙄🙄
Also Nick fury: 😳
Sam Wilson: 😟 Don't look at me...🥺. I do what he does, just slower.
Nick fury: 🙄🙁
Steve Rogers: 🙂
Nick fury: Well......... It looks like you're giving the order now, captain.
Steve Rogers: ( 😎😎 )
Illuminati shit it’s like Marvel iko associated na devil or something ,Jaribu ukiwa high sema kama umeokoka achana navyo si recommendVitu gani hivyo? Nikairudie tena maybe kuna videtails navimiss sehemu.
Resident alien kumbe 😂Guys hivi hii series nani kaiona???
Aisee nimecheeeeeka nadhani tangu mwaka uanze ndio nimecheka namna hii,
That Man is a real Comedian [emoji119]View attachment 2362642
Netflix hipoGuys hivi hii series nani kaiona???
Aisee nimecheeeeeka nadhani tangu mwaka uanze ndio nimecheka namna hii,
That Man is a real Comedian [emoji119]View attachment 2362642
Eeh,Resident alien kumbe [emoji23]
Hapana haipo
Nimeishia season 1, anavyotusema humans huyo mbwa 😂Eeh,
Ushaiona??
Hebu isearch Telegram najua ipo,
Baadae kalainika ameshakua attached na Humans World, madai yake amekua inloveNimeishia season 1, anavyotusema humans huyo mbwa [emoji23]
Poa ngoja nichekiHebu isearch Telegram najua ipo,
Season 2 bado haijakamilika episodes
You're Right!Kwakua wote wametaja jina la muvi mimi nitataja scene. Dialogue hii inatoka kwenye scene ambayo Steve na Sam walikamatwa nadhani ni baada ya lile pambano la darajani ambapo steve aligundua winter soldier ni bucky so akabaki anashangaa then wakakamatwa wakawa wanapelekwa kwenye dentention facility kumbe askari alikua ni imposter Maria Hill. Baada ya hapo walienda mafichoni ndio wakakuta kumbe Fury hajafa ndio wakaongea hayo.
Illuminati shit it’s like Marvel iko associated na devil or something ,Jaribu ukiwa high sema kama umeokoka achana navyo si recommend
Hahah in love sema sawa maana alikuwa ana chemistry na yule mwanadadaBaadae kalainika ameshakua attached na Humans World, madai yake amekua inlove
Itakuwa one episode tayari leta mrejesho 😅Saa tano kamili naanza kuangalia hii series. Ole wenu nisiipende 😅
Mara ya kwanza nilimuona kwenye ile movie SerenityNimemaliza Ep1 kesho mchana nitatazama Ep 2
Jamaa nimependa anavyokua anaongea kwa utulivu. Nimecheka pale kaangalia mwili wa marehemu halafu akatoka nje. Mayor anamuuliza mbona unaondoka anajibu mmeniomba nije kutaza mwili na nimeutazama, Je una miili mingine unataka nikaiangalie😅😅
Huyu jamaa nilikua najua ni yule Right hand wa Carl Proctor kwenye series ya Banshee nikakukumbuka alikua kwenye muvi ya Transformer: Dark of the moon. Humo alinichekesha sana
MrejeshooooooSaa tano kamili naanza kuangalia hii series. Ole wenu nisiipende [emoji28]