Zack katimuliwa , pia the flash wanasema itakua reset ya DCEU wnaanza upya kubuild ndo maana pamoja na kuwa Ezra ana kesi nyingi bado itakuwa realesed io muvi
Zack bado yupo ila bado hajui hatia yake. Pia ukiangalia cast wake wote wanarudi akiwemo Ben Affleck labda na henry ingawa kuna kigugumizi kwa huyu jamaa. Ray fisher....?
Nami pia nimeipenda naona wazee baba wamefuta comment yangu ile ya she hulk hapa. Napenda how Jen anavyovunja ukuta wa nne, amenifanya nitamani kuirudia series ya House of Cards
Unajua kuna ile episode anabreak fourth wall anasema βI know you canβt wait to see Wong...β π nilikuwa ofisi ya watu ambayo iko kimyaa...ndg yangu si nikacheka kwa nguvu
Asee Kila mtu akaniangalia nkaona wako na wtf look on their faces