Wakujilipua JF-Expert Member Joined May 5, 2018 Posts 1,587 Reaction score 1,393 Nov 1, 2019 #101 Ninafikilia kuhusu deadpoor. Wakiungana na Peter quill. nebula, gamola.gruu. yaaan hi muv itakua ya kipekee
Ninafikilia kuhusu deadpoor. Wakiungana na Peter quill. nebula, gamola.gruu. yaaan hi muv itakua ya kipekee
Wakujilipua JF-Expert Member Joined May 5, 2018 Posts 1,587 Reaction score 1,393 Nov 1, 2019 #102 VIP kuhusu vision je? ataludi tena. Baada ku kufarik kwenye avengers, infinity war.
Wakujilipua JF-Expert Member Joined May 5, 2018 Posts 1,587 Reaction score 1,393 Nov 1, 2019 #103 Tony-stark said: Ndio, hata ukimuuliza apocalypse atakwambia yule ni mrembo lakini ni hatari, Magneto mwenyewe alikiona chamoto. Click to expand... Hata magneto nae c Mt wa mchezo mchezo. Allien walichezea kichapo
Tony-stark said: Ndio, hata ukimuuliza apocalypse atakwambia yule ni mrembo lakini ni hatari, Magneto mwenyewe alikiona chamoto. Click to expand... Hata magneto nae c Mt wa mchezo mchezo. Allien walichezea kichapo
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,341 Nov 1, 2019 #104 kata shime officiar said: Hata magneto nae c Mt wa mchezo mchezo. Allien walichezea kichapo Click to expand... Yeah katika mutant ninaowakubali ni magneto
kata shime officiar said: Hata magneto nae c Mt wa mchezo mchezo. Allien walichezea kichapo Click to expand... Yeah katika mutant ninaowakubali ni magneto
Wakujilipua JF-Expert Member Joined May 5, 2018 Posts 1,587 Reaction score 1,393 Nov 1, 2019 #105 Tony-stark said: Yeah katika mutant ninaowakubali ni magneto Click to expand... Haswa pale alipoivuta tren KUTOKA aridhini weeeee ni balaaaa
Tony-stark said: Yeah katika mutant ninaowakubali ni magneto Click to expand... Haswa pale alipoivuta tren KUTOKA aridhini weeeee ni balaaaa
Joe Unruly JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 203 Reaction score 187 Nov 1, 2019 #106 Ila dark phoenix ilipata negative reviews kinoma...labda saivi x-men walvochukuliwa na Marvel wataifufua freshi
Ila dark phoenix ilipata negative reviews kinoma...labda saivi x-men walvochukuliwa na Marvel wataifufua freshi
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Nov 1, 2019 Thread starter #107 Joe Unruly said: Ila dark phoenix ilipata negative reviews kinoma...labda saivi x-men walvochukuliwa na Marvel wataifufua freshi Click to expand... Kweli hata mauzo haikufanya poa...
Joe Unruly said: Ila dark phoenix ilipata negative reviews kinoma...labda saivi x-men walvochukuliwa na Marvel wataifufua freshi Click to expand... Kweli hata mauzo haikufanya poa...
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Nov 1, 2019 Thread starter #108 Tony-stark said: Yeah katika mutant ninaowakubali ni magneto Click to expand... Magneto nadhani ndio kabaaki kama top after Logan
Tony-stark said: Yeah katika mutant ninaowakubali ni magneto Click to expand... Magneto nadhani ndio kabaaki kama top after Logan
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Nov 1, 2019 Thread starter #109 kata shime officiar said: Kweli kabisaa huyu mlembo ni Moto wa kuotea mbali. Click to expand... Yule demu sijui kala nn.. kwenye season one ya game of thrones alikua mdogo afu mbaya tu ila now bonge la demu
kata shime officiar said: Kweli kabisaa huyu mlembo ni Moto wa kuotea mbali. Click to expand... Yule demu sijui kala nn.. kwenye season one ya game of thrones alikua mdogo afu mbaya tu ila now bonge la demu
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Nov 1, 2019 Thread starter #110 Tony-stark said: Ndio, hata ukimuuliza apocalypse atakwambia yule ni mrembo lakini ni hatari, Magneto mwenyewe alikiona chamoto. Click to expand... Magneto anapigwa vibaya mno na jean grey... bado hawajatuonyesha weakness yake
Tony-stark said: Ndio, hata ukimuuliza apocalypse atakwambia yule ni mrembo lakini ni hatari, Magneto mwenyewe alikiona chamoto. Click to expand... Magneto anapigwa vibaya mno na jean grey... bado hawajatuonyesha weakness yake
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Nov 1, 2019 Thread starter #111 Joe Unruly said: Kawa mtam knoma mkuu... Click to expand... Wacha tu daah huku tubawaona akina wolper tu.
Joe Unruly said: Kawa mtam knoma mkuu... Click to expand... Wacha tu daah huku tubawaona akina wolper tu.
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,913 Reaction score 10,719 Nov 1, 2019 #112 Jaman sisi wa avatar the last air bender tuna comment wap
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,341 Nov 1, 2019 #113 Denvers said: Yule demu sijui kala nn.. kwenye season one ya game of thrones alikua mdogo afu mbaya tu ila now bonge la demu Click to expand... Hapo alikua 15, now 23 lazima awe mrembo, Ila dah she's soooo HOT
Denvers said: Yule demu sijui kala nn.. kwenye season one ya game of thrones alikua mdogo afu mbaya tu ila now bonge la demu Click to expand... Hapo alikua 15, now 23 lazima awe mrembo, Ila dah she's soooo HOT
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,341 Nov 1, 2019 #114 kata shime officiar said: VIP kuhusu vision je? ataludi tena. Baada ku kufarik kwenye avengers, infinity war. Click to expand... Kuna series yao inakuja yeye na wanda 2021, Sio mpenzi wa series za marvel, ila huu ujio mpya lazima nijiunge.
kata shime officiar said: VIP kuhusu vision je? ataludi tena. Baada ku kufarik kwenye avengers, infinity war. Click to expand... Kuna series yao inakuja yeye na wanda 2021, Sio mpenzi wa series za marvel, ila huu ujio mpya lazima nijiunge.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Nov 1, 2019 Thread starter #115 Tony-stark said: Kuna series yao inakuja yeye na wanda 2021, Sio mpenzi wa series za marvel, ila huu ujio mpya lazima nijiunge. Click to expand... Me too Wanda na Series ya loki lazima nijiunge
Tony-stark said: Kuna series yao inakuja yeye na wanda 2021, Sio mpenzi wa series za marvel, ila huu ujio mpya lazima nijiunge. Click to expand... Me too Wanda na Series ya loki lazima nijiunge
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Nov 1, 2019 Thread starter #116 Tony-stark said: Hapo alikua 15, now 23 lazima awe mrembo, Ila dah she's soooo HOT Click to expand... Yeah now anavutia mno
Tony-stark said: Hapo alikua 15, now 23 lazima awe mrembo, Ila dah she's soooo HOT Click to expand... Yeah now anavutia mno
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Nov 1, 2019 Thread starter #117 Waterbender said: Jaman sisi wa avatar the last air bender tuna comment wap Click to expand... Hahahaaa muvi mbaya zaidi kuwahi kutokea hyo
Waterbender said: Jaman sisi wa avatar the last air bender tuna comment wap Click to expand... Hahahaaa muvi mbaya zaidi kuwahi kutokea hyo
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,341 Nov 1, 2019 #118 kata shime officiar said: Haswa pale alipoivuta tren KUTOKA aridhini weeeee ni balaaaa Click to expand... Ile scene nimeikubali sana
kata shime officiar said: Haswa pale alipoivuta tren KUTOKA aridhini weeeee ni balaaaa Click to expand... Ile scene nimeikubali sana
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,913 Reaction score 10,719 Nov 1, 2019 #119 Denvers said: Hahahaaa muvi mbaya zaidi kuwahi kutokea hyo Click to expand... Duuu
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Nov 1, 2019 Thread starter #120 Waterbender said: Duuu Click to expand... Usiseme nakuonea ila hii ni orodha ya tuzo ilizoshinda.. Hollywood upande wa muvi hua wanaangalia zaidi Postive reviews ndio wanaona muvi imefanikiwa. Worst PictureWonWorst DirectorWonWorst ScreenplayWonWorst Supporting ActorNominatedWorst Supporting ActressNominatedWorst Screen CoupleWorst Prequel, Remake, Rip-off or SequelNominated Worst Eye-Gouging Mis-Use of 3DWon
Waterbender said: Duuu Click to expand... Usiseme nakuonea ila hii ni orodha ya tuzo ilizoshinda.. Hollywood upande wa muvi hua wanaangalia zaidi Postive reviews ndio wanaona muvi imefanikiwa. Worst PictureWonWorst DirectorWonWorst ScreenplayWonWorst Supporting ActorNominatedWorst Supporting ActressNominatedWorst Screen CoupleWorst Prequel, Remake, Rip-off or SequelNominated Worst Eye-Gouging Mis-Use of 3DWon