Brother hivi umeona kwamba hii theory ya Multiverse imepunguza ile thrill & stakes kuwa very high kwenye movies kama mwanzoni, kwa mantiki ya kwambaHii simple sana, na jibu tayari wanalo. Alternate realities/universes inajibu hiyo.
Kwenye dr. strange;MoM wameonesha kina strange wa kila aina kutoka universe tofauti tofauti, hawawezi shindwa kwa xmen, plus wameshamuonesha charles xavier(professor X), wamalizie tu.
Nimekuelewa bro. Iron man yupo katika uniuverse moja hukom na hakufa wakiwa wanapigana na thanos.Brother hivi umeona kwamba hii theory ya Multiverse imepunguza ile thrill & stakes kuwa very high kwenye movies kama mwanzoni, kwa mantiki ya kwamba
“Well kafa Dr strange wa universe hii i bet kutakuwa na supreme strange badass kuliko huyu kwenye alternate reality... there is no need to be sad then”
Kama Wale Illuminati walivyouwawa na wanda nkawa nawaza “okay...that was disappointing lakin i bet kutakuwa na wengine ambao ni so much more😂🙌🏽“
Umeona nachomaanisha
Asante mkuu nimeipataDownload app inaitwa AZ Movie ipo hiyo hiyo app future iko hivi View attachment 2293744
Nimefurahiiiii,Thor itakuwa bado yupo yupo, hakuna avenger wa kupigana na hercules man-to-man kwa sasa. plus comics zipo hivyo{ingawa hawako comic accurate}
Hata mie sikupenda walivyomuua mwamba, kwa mara ya kwanza japo ni my role model lakini nilitaka Thena ndio afe [emoji849], maana mule wamezingua sana ndio nini sasa kumfanya vile,Bro, Theron anajicho flani hivi akikuangalia, woi, moyo unamelt tu.
Jolie walizingua sana mkuu, then wakampa jina la Thena/Athena, a freaking goddess of war, then wao wakamdogolisha flani hivi, hata fight scenes zake zilikuwa subpar sana. Athena anamkalisha chini ares na hercules kwenye combat, mle wanatuonesha anaweweseka tu, like wtf, arya stark would have done better.
plus walivyomuua gilgamesh, man, i was sad.
Halafu wewe hujaiona Thor nishakushtukia wewe [emoji848][emoji2]Brother hivi umeona kwamba hii theory ya Multiverse imepunguza ile thrill & stakes kuwa very high kwenye movies kama mwanzoni, kwa mantiki ya kwamba
“Well kafa Dr strange wa universe hii i bet kutakuwa na supreme strange badass kuliko huyu kwenye alternate reality... there is no need to be sad then”
Kama Wale Illuminati walivyouwawa na wanda nkawa nawaza “okay...that was disappointing lakin i bet kutakuwa na wengine ambao ni so much more[emoji23][emoji1430]“
Umeona nachomaanisha
Ndio sijaiona 😂🙌🏽...sikuwa mjini ntarud next week, siangaliagi hizi chafu kwahiyo nasubir safi kidogoHalafu wewe hujaiona Thor nishakushtukia wewe [emoji848][emoji2]
Eternal 2 lazima waipige vizuri watakuwa wamejifunza kutokana na makosa yaoHata mie sikupenda walivyomuua mwamba, kwa mara ya kwanza japo ni my role model wangu lakini nilitaka Thena ndio afe [emoji849], maana mule wamezingua sana ndio nini sasa kumfanya vile,
Sema nahisi Eternals 2 itakuja kivingine zaidi, labda watatufuta machozi yaliyotutoka baada ya kupoteza pesa zetu na muda kuangalia ile ya kwanza.
Earth 616 kwahiyo ina X-men na Inhumans sema kama kawaida yao watatupa zile za underground operating org...mutants wanaoperate kwenye shadow kimya kama eternals...thenNimekuelewa bro. Iron man yupo katika uniuverse moja hukom na hakufa wakiwa wanapigana na thanos.
pia kuna utata kidogo, kwanini strange pekee na abaki kuwa sorcerer ? Mbona cap A kawa captain Carter, captain marvel ni mwingine pia? Avengers je?
plus inaonesha xmen na inhumans(kina black bolt) tayari wapo katika current universe ya kina Captain america.
Butcher mimi sio shabiki wake aisee namuona bully, wenzie walikuwa wanamvumilia sanaEpisode ya kwanza season2 ya the boys ilikua so empty until the return of butcher Billy butcher.
Nilipenda alivyosema "don'tcha worry dad is home"
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wanda alimtoa jasho Thanos kwenye End Game hadi akaomba msaada kwa Watoto wake..... Yupo vizuri sanaDaaah wanda alikula nguvu za captain marvel dadeki ujue huyu demu ni hatari sana
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kama utarudi next week si bora ukaicheki Cinemax tu, kitu cha 3d unaburudika... Ila Thor anachekesha sana hadi kuna muda unashindwa kumuhurumia akionewa,Ndio sijaiona [emoji23][emoji1430]...sikuwa mjini ntarud next week, siangaliagi hizi chafu kwahiyo nasubir safi kidogo
imagine kwenye endgame alikua wanda na hasira zake bwana wake kauliwa maana alimwambia "you took everything from me"Wanda alimtoa jasho Thanos kwenye End Game hadi akaomba msaada kwa Watoto wake..... Yupo vizuri sana
Yule mkongwe achana nae kabisa,ila amini tu kaka labda hautaki kuona ninachoona mmButcher mimi sio shabiki wake aisee namuona bully, wenzie walikuwa wanamvumilia sana
Stan edgar ndio character yangu favourite ana ile sifa ya “intimidation by intelligence” aisee character mwenyewe hiyo sifa huwa namkubali sana
aah itakuwa bado ipo kwenye list ya movie zinazoonyeshwa hapo, sawa nlifikir itakuwa imeondolewaKama utarudi next week si bora ukaicheki Cinemax tu, kitu cha 3d unaburudika... Ila Thor anachekesha sana hadi kuna muda unashindwa kumuhurumia akionewa,
Alivyoiona ile Nyundo yake iliyovunjwa utachekaaaa halafu anaiambia Nyundo yake mpya eti isiwe na wivu hata yeye yupo kwenye hard time ya kukutana na Ex Hammer pamoja na Ex Girlfriend [emoji23]
Wanda alimtoa jasho Thanos kwenye End Game hadi akaomba msaada kwa Watoto wake..... Yupo vizuri sana
😂😂😂 billy butcher being billystarlight, don't you just light up a room, eh?
Daaah Billy
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app