mimi mwenyew sijailewa hiyo meme mkuu..ila namejaribu kufatilia tangu hiyo #minions iwe released kwenye cinema ni kama imeingiza mpunga mrefu balaa
kitu kingine nimeona clip zinatrend,watu hasa teens wanaingia kwa makundi kweny cinema kucheck hiyo muvi, huku wamekula suti
wanasema worth watch it!!