ni mpya kwenye screens zetu mkuu, ila kwenye comics yupo kitambo kidogo. Powers zake kutokana na trailer, zinataka kufanana na Captain Marvel.Hivi visupa hiro vipya vitatuchanganya tu,au ndio baadae atakua na potential kubwa kuliko ajuavyo yeye?
Bora Bongo movie Ila sio spiderUnaweza toa justification..? tunakusikiliza, elezea wamefeli kiaje
Kwa ufupi wanajua wanacho fanya.Wanachofanya ni ku replace wale old characters ili iendane na story zao na timeline zao
Si unajua hawa jamaa wana develop story mapema kabisa so wanajua yupi waende naye yupi ataishia njiani
Bongo movie haeajui hata nano tech ni nini?Bora Bongo movie Ila sio spider
Bongo movie haeajui hata nano tech ni nini?
Emu omba msamaha ndugu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Gladly you asked coz I would like to take this moment to explain my evil plan to you 😅Huyu mis.marvel ni yupoje?
Yaan nguvu zake, hii movie ipo wakat gani kwenye timeline ya mcu?
Da'Vinci
Na mtachanganyikiwa kweli wekeni vichwa vyenu tayari maanakuna wakati kama physics uliikimbia hutoelewa hizi muvi. Kila character unayemuona ana potential kubwa sanaHivi visupa hiro vipya vitatuchanganya tu,au ndio baadae atakua na potential kubwa kuliko ajuavyo yeye?
Naam kwa mfano muvi za Avengers infinity war na endgame wameanza kutengeneza mwaka 2015. Lakini sio kwamba kila old character atakua replaced.. Take thisWanachofanya ni ku replace wale old characters ili iendane na story zao na timeline zao
Si unajua hawa jamaa wana develop story mapema kabisa so wanajua yupi waende naye yupi ataishia njiani
Kamala khana sio wa kitambo sana amenza kuonekana kwenye comics 2013 na kuonekana kwenye Ms marvel mwaka 2014ni mpya kwenye screens zetu mkuu, ila kwenye comics yupo kitambo kidogo. Powers zake kutokana na trailer, zinataka kufanana na Captain Marvel.
Naam lengo kuu ni aje atokee kweye Captain marvel 2 ndio maana wakaiita The Marvels maana ita consist Captain Marvel watatuKwa nini wanamleta sasa hivi, nahisi itakuwa maandalizi ya "The Marvels", wahusika wakiwa huyu Ms. Marvel, Captain Marvel pamoja na Monica Rambeau(yule dada black aliepata powers baada ya ku-cross ile wall ya WestView katika WandaVision).
Naam Creative team ya Marvel wameweka mfumo kwamba muvi ikitoka mwaka huu basi mwendelezo wake unakua tayari inabakia kushoot tu. Kama vile Loki,shang chi, What If?? Hizi zote mwendelezo wake ulikua tayari pindi tu zilipotoka. Kevin feige kabla ya kuajiriwa Marvel alikua die hard fan wa Marvel Comics ndio maana anatuletea vitu Vizuri coz nae ni mpenzo...Ni sawa sawa mie niwe CEO wa Marvel Studios basi mjue mtapata mambo mazuri back to back maana naweza tumia hata masaa 5 nasoma comicsKevin Fergie ni mtu wa kupiga hatua 100 mbele(anastahili sifa), lazima kuna kitu anapiga huko jikoni kwake
Edit: Nimetoka ku-google, "The Marvels" inakuja 2023 na wahusika watakuwa hao plus wengine
Daah mimi hata sina madini mate, najaribu tu kulitendea haki hili jina langu kwa kushea machache niyajuayo nanyi wakuu ✌️Salute mzee.
Natamani ningekua na madini kama yako.
Unaweza kuwa sahihi sana,ukimshauri jamaa na ukawa sahihi atakupa credit in future thank you for friend from Tanzania Da'vinci who gave me this theory and turned out to be true hahaha.
Kivipi mkuu?Marvel ina-lack creativity nowadays.
Daaah humu nimezungukwa na watoto kumbe...
Unaijua suit ya iron man ya kwenye infinity war na the endgame?Cjakuelewa kiongoz
Ndio mzee si ndo wameimodify spider anavaaUnaijua suit ya iron man ya kwenye infinity war na the endgame?
Marvel ya kipindi hicho sio hii Sasa haina Moto kabisaKivipi mkuu?
Umenikumbusha,ilw conversation kati ya vision wetu na white vision daaaaah mambo yalikua magumu pale.Na mtachanganyikiwa kweli wekeni vichwa vyenu tayari maanakuna wakati kama physics uliikimbia hutoelewa hizi muvi. Kila character unayemuona ana potential kubwa sana
Naam kwa mfano muvi za Avengers infinity war na endgame wameanza kutengeneza mwaka 2015. Lakini sio kwamba kila old character atakua replaced.. Take this
Kamala khana sio wa kitambo sana amenza kuonekana kwenye comics 2013 na kuonekana kwenye Ms marvel mwaka 2014
Naam lengo kuu ni aje atokee kweye Captain marvel 2 ndio maana wakaiita The Marvels maana ita consist Captain Marvel watatu
Naam Creative team ya Marvel wameweka mfumo kwamba muvi ikitoka mwaka huu basi mwendelezo wake unakua tayari inabakia kushoot tu. Kama vile Loki,shang chi, What If?? Hizi zote mwendelezo wake ulikua tayari pindi tu zilipotoka. Kevin feige kabla ya kuajiriwa Marvel alikua die hard fan wa Marvel Comics ndio maana anatuletea vitu Vizuri coz nae ni mpenzo...Ni sawa sawa mie niwe CEO wa Marvel Studios basi mjue mtapata mambo mazuri back to back maana naweza tumia hata masaa 5 nasoma comics
Hata mm ni kijana mdogo,sema mfumo wa jamii unatufanya tuone kama tupo sawa,kijana anaona kila mtu kijana pia wakubwa wanaona wote wakubwa.Daaah humu nimezungukwa na watoto kumbe...
Sisi ni watu wazma kabsa izo knowledge tunazo physics ipo na izo movie tunajua apa kafeli au laah tusiitane watotoHata mm ni kijana mdogo,sema mfumo wa jamii unatufanya tuone kama tupo sawa,kijana anaona kila mtu kijana pia wakubwa wanaona wote wakubwa.
Ila tukiwa tunachat kama hivi kwa kuheshimiana huwezi kuona utofauti
Anyways tuishi humo humo.Ndio mzee si ndo wameimodify spider anavaa
Amini mzee hawan malengo kwanz ,sema kuna part znashangaza San aliwezaje kurudisha mda nyuma bila stone of time!?Anyways tuishi humo humo.
Ile suit ina technology inaitwa Nano tech katika ulimwengu wa kweli ipo hiyo kitu.
Ndio nikakwambia bongo movie hawajui nano tech,kimsingi hawa invest pesa nyingi kwenye kazi zao