Ni character mmoja aliyetokea kwenye series mbili tofauti Agent Carter na Shield. Kumbuka zote hizi series zimetokea kwenye universe moja, ndio maana pia Peggy Carter pia alionekana huku agent of shield
Aliye karibu nawe akupige kibao uamke toka usingizini😅Pattinson kaenda Theatre siku ya premier ya Batman,... NWH Tobey na Andrew walienda huku wakivaa disguise, hivilini kwetu celebrity watakuja ndani ya theatrekutu suprise
Theory yangu #2 juu ya sababu ya kuhamishia Series Disney+Planet X - home planet.
Aliye karibu nawe akupige kibao uamke toka usingizini
Je muvi za kibongo hua zaonyeshwa cinema pia na Watu wanaenda kutazama??
wakimleta Skye kwenye MCU itapendeza sana wakimrudisha yule actress aliitendea haki sana ile character.Mapenzi yangu kwa Marvel Studios yanaweza kuzidi jinsi nimpendavyo my Skye, Marvel really care for Us. Wanajali nini tunataka na wanatupatia. Shukrani zote kwa Kevin Feige kwa kutujali. Mungu amjalie hata miaka 70 tutaenjoy sana.
View attachment 2142496
Movie za kibongo tuwe wakweli hakuna mtu wa kuspend some money ili aingie theatre kwa ajili yao. Waendelee kusapotiana tu wao kwa wao.nshaamka, kwahiyo haiwezekan au, movies za kibongo hapana aisee premier zinakuaga chache zinapitaga siend hawajanishawishi bado unless kuwe na mabadiliko makubwa
Watu wanaotumia cinema bado ni wachache wengi tunaendaga siku za blockbusters sema ikitokea hiyo suprise, nahis mashabik watazid
Juakali inavutia ila huba washaanza kukelaMovie za kibongo tuwe wakweli hakuna mtu wa kuspend some money ili aingie theatre kwa ajili yao. Waendelee kusapotiana tu wao kwa wao.
Zamani ilikuwa inakuja vizuri sana sijui kulitokea nini ghafla movie zao zote hazivutii
AApril 12
Da'Vinci ulielezea kuhusu iluminanti na naona kwenye tangazo la doctor strange majamaa wapo humo kwa msaada wa your double Canadian ameelezea vema ndio nazidi kuona wewe na mchizi mpo sawa kabisa yaaani salute sana mkuu.
Naona mule kuna Richard,frank, captain carter na yule jamaa wale steve aliyesepa ukimtoa Wang
By number wako 7.
MCU is the best yaaaani,yaaan movie serious alafu una i animated hapo hapo?View attachment 2134424
Umechelewa sana kumfahamu huyu jamaa. Mimi nina miaka minne kwenye channel yake. Yuko vizuri sana
Juakali inavutia ila huba washaanza kukela
Thanks for recommending me to Canadian lad, nimenfuatilia sana video zake niseme tu he's the best. Natumaini kama nami ningepata tools za kutosha kama yeye ningeweza kufanya kitu. Ila kuangalia muvi kwa 0.25speed yataka moyo hongera kwake...Kwa bongo sidhani kama kunawasomaji wa comics wengi. But I'm really impressed and motivated to do such kind of thing
Niliangalia video hiyo ya Trailer la Multiverse of madness, kuna Sehemu wakati Christine Palmer anafunga ndoa anasema kwamba christine atakua ndio anaigiza character ya Clea, ambae ni mke wa Stephen strange kwenye comics...Mimi nakataa. Na nitatoa factors/theory zangu Kama ifuatavyo.
✓Kipindi Drew Goddard anatengeneza Series ya Daredevil alitaka kutumia character ya Night Nurse kutoka kwenye comics ambapo Huyu ni nesi/manesi anayehudumia Superhero waliopata majeraha kama vile Punisher,Luke Cage,Iron fist, Daredevil nk. Lakini Drew Goddard aligundua kwamba character hiyo inampango wa kutumiwa na MCU miaka ya baadae. (Ndio alikuja kutumiwa kwenye muvi ya Doctor strange akiitwa Christine Palmer)
Drew alibadirisha character ya night Nurse na kutumia jina la Claire Temple, waliotazama series za Daredevil, Defenders,Luke Cage walimuona.
So mpaka hapo tumejua kwamba christen Palmer mpenzi wa Stephen strange kwenye comics anafahamika kana night nurse....
Clea....
Clea ni mtoto wa Umar (kama sijakosea) mpwa wa Dormamu pia, Anaishi Dark Dimension huyu walikutana na strange wakapendana japo kuna uadui lati yao wakafunga ndoa, waliungana na kua wanapambana pamoja dhidi ya mystic beings.
#1: Sasa sidhani kama itakua sahihi kama MCU wataruhusu Character ya Night Nurse na Clea ichezwe na mtu Mmoja, yaani watuaminishe kua night nurse ndio clea sidhani kama watakua wamefanya vyema hasa kwetu tunaofatilia comics, Marvel studios creative team wapo makini sana sidhani kama wataweza kuruhusu mkanganyiko huu.
#2: Lakini pia sioni umuhimu wa kumleta clea kwa sasa maana tayari washamleta American Chavez powerful kama clea au zaidi yake... kwenye muvi strange atakua mentor wa American Chavez hivyo tunategemea Strange kurithiwa nae maana naona MCU wapo serious kwa swala la gender swapping kwa Superheroes.....Kama asingekuwepo american Chavez basi ningekubali theory ya kumfanya Christine Palmer kua clea.
Ila haya ni mawazo yangu tu.. naweza kua sahihi au sipo sahihi, kikubwa tusubiri may 6 tutapata majibu.
Exactly, We'll support you accordingly.you should definitely get ur own youtube channel
Umedownload vipi quality ni nzuri kabisaSpiderman No way home
copy safi tayari imefika Kwa torrent.
Link hii hapo chini.
View attachment 2147194View attachment 2147195
yah niliidownload Jana na kuiangalia, Quality ipo vizuri mkuu.Umedownload vipi quality ni nzuri kabisa