Naomba wasimuue tu maana kukiwa Strange Supreme akiwa anafight alongside strange dah sitapati picha. Zile Ten rings zitaplay part kama unavyosema credit scene ni mwanzo wa movie nyingine
MCU ni huge yaani kila siku naona ndio we are getting started it keeps getting better and better sema ila credit scene ya Eternals Harry styles yeye kama eternal mbona niliona kama ni uamuz wa hatari hivi
Aisee Strange supreme sio jambazi ni powerful tu kwasababu alizipata nguvu kwa njia isiyo halali na kusababisha dunia yake kuharibika. Hicho ndio kinawafaya watu wamuone ni adui ila kiuhalisia sio adui. Natumaini kwenye Multiverse of madness wanaweza kushirikiana. Nina wasiwasi American Chavez atamuondoa Doctor Strange (Replace)Inawezekana maana
Multiverse war ni ya kang na anajaribu ku set matukio ili kuleta chaos maana ana uwezo wa time travel so Kama starange atakuwa threat na obstacle kwake anaweza kumfungia
Maana pia ye ndio aliiweka zile rings kwenye tombs baba ake Shang chi akazikuta akaazisha organization crimes ten rings hapo lengo la chaos linatimia kwake kwenye comics wanasema alizukuta kwenye alien ship ya mukullan race sasa pale mwishoni kwenye end credit scene Dr banner na Wong na Denver walikuwa wanasema hazijulikani zina mda gani zaidi ya ma 1000 na kuzid na kang nae anatoka 31st century na pale mwishoni zilikuwa zinasend signal Shaun anauliza kwa nani ? [emoji1787] Hawajui
Ila hapo sasa ni kwa mzee mzima kang au mukullan race waje hapo hatujajua
Sasa sijajua na lile jambazi Dr strange supreme atauliwa au itakuwaje maana kwenye season ya what if halikufa instead lilibadili moyo liliamua nalo ku protect multiverse sasa sijajua kwenye DS 2 wataungana against kang au vip na pia bado hii na chairman wa marvel Kevin feige amesema ile season ni canon to other marvel movies ita relate kwa kiasi kikubwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyu kwenye loki alikuwa sio jambazi sema silvie kisasi chake ndio kime cost watu yeye kuwepo pale ilikuwa ni muhimu kuprotect timeline na ku prevent multiverse war ndio maana akawaambiaAisee Strange supreme sio jambazi ni powerful tu kwasababu alizipata nguvu kwa njia isiyo halali na kusababisha dunia yake kuharibika. Hicho ndio kinawafaya watu wamuone ni adui ila kiuhalisia sio adui. Natumaini kwenye Multiverse of madness wanaweza kushirikiana. Nina wasiwasi American Chavez atamuondoa Doctor Strange (Replace)
Btw Kang naona sio adui kivile, au kwakua huyu wa kwenye Loki alikua Cool
Halafu wame introduce character wawili kutoka kwenye comics hatari sanaNaomba wasimuue tu maana kukiwa Strange Supreme akiwa anafight alongside strange dah sitapati picha. Zile Ten rings zitaplay part kama unavyosema credit scene ni mwanzo wa movie nyingine
MCU ni huge yaani kila siku naona ndio we are getting started it keeps getting better and better sema ila credit scene ya Eternals Harry styles yeye kama eternal mbona niliona kama ni uamuz wa hatari hivi
Halafu hizi pigo za marvel ku replace character wake na mademu wanazingua
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Si nasikia shuri anakuja kuchukua nafasi ya BPShe Hulk na huyo Jane wa Thor hata kama ni Empowerment sio hivyo sasa wanazingua sana hapo
Moja kati ya maamuzi mabovu kabisa kuwahi kufanyika. Wange re-cast maisha yasonge tu.Si nasikia shuri anakuja kuchukua nafasi ya BP
Eeh sio dhambi kufanya hivyo Spartacus mbona maisha yalienda tu baada ha kufariki jamaa au F&F kama vip watengeneze Booseman wa ARWange re-cast maisha yasonge tu.
Nasikia Tom cruise ndo anakuja kuwa New Iron Man View attachment 2093840
[emoji3][emoji3][emoji3]nasikia Tom anaanza kuonekana kwenye DOCTOR STRANGESiwez nkasema mpaka nione itakuwaje ila nahis kama RDJ ndio Tony stark jamaa yule alikuwa ni embodiment ya ile character kila kitu
Ingekuwa mm kevin Fiege ningemtafute Elon Musk awe new Iron man [emoji28]... nahis ingekuwa mind blowing
Nasikia Tom cruise ndo anakuja kuwa New Iron Man View attachment 2093840
Siwez nkasema mpaka nione itakuwaje ila nahis kama RDJ ndio Tony stark jamaa yule alikuwa ni embodiment ya ile character kila kitu
Ingekuwa mm kevin Fiege ningemtafute Elon Musk awe new Iron man [emoji28]... nahis ingekuwa mind blowing
Hayo ni maneno tu sioni kama kuna ulazima wa kumrudisha Tony as a character. Lakini kwenye hii muvi kila kitu anasema chake kuhusu kuwepo kwa actor wa zamani. Kikubwa tuombe uhai...May sio mbali.[emoji3][emoji3][emoji3]nasikia Tom anaanza kuonekana kwenye DOCTOR STRANGE
[emoji3][emoji3][emoji3]nasikia Tom anaanza kuonekana kwenye DOCTOR STRANGE
Elon si alipata comeo kwenye Iron man two kama sikoseiSiwez nkasema mpaka nione itakuwaje ila nahis kama RDJ ndio Tony stark jamaa yule alikuwa ni embodiment ya ile character kila kitu
Ingekuwa mm kevin Fiege ningemtafute Elon Musk awe new Iron man [emoji28]... nahis ingekuwa mind blowing
PS. Mkuu ahsante kwa series ya Ricky and morty nimeeipenda sana it's so funny.
Nipo S3 now!
Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu
Salute Kipindi cha nyuma kabla sijawa na ufahamu wa masuala ya teknolojia nilikua nikiangalia muvi kama vile KingKong, Jurasic Park,Godzila,RoboCop, Cyborg , Terminator nk nilikua najua kwamba vile viumbe vya ajabu kwenye muvi hizi nilizotaja ni watu waliovaa vinyago/costume natumaini sio mimi...www.jamiiforums.com
Elon si alipata comeo kwenye Iron man two kama sikosei
Nimependa hiziRicky and Morty hahah ni iko inachekesha sana na jokes zake ziko smart nachoipendea pia wana curse alot[emoji28]
Episode ipi umeipenda zaid mpaka ulipofikia?
S1Ep7
Mtoto wa morty akamvimbishia eti 'I rather breath poison than to live another minute with you'
S2ep1
Rick akasema eti 'Yes JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you god not today bitch
Hata mimi niliskia hii atakuwa variant wa iron Man na kwenye universe yake ame m defeat thanos na hajafaNasikia Tom cruise ndo anakuja kuwa New Iron Man View attachment 2093840