Bro, ana experience ya kum-match thor?
Thor ameenda against literal gods kwenye life yake, amemjerui hata Zeus, mkuu.
Tumeona stormbreaker ikiizidi nguvu beam ya Infinity gauntlet, sasa ile beam ya Captain Marvel itaizidi beam inayotolewa na Infinity stones.
Thor anamkalisha vizuri kabisa Hulk, Groot.
Valkyrie, Cap A., Abomination na wengineo wote wanakalishwa chini na Thor Odinson.
Mkuu, Thanos wa Infinity war au Endgame anamkalisha vizuri tu huyo Giah.
Captain Marvel anamkalisha vizuri tu Giah, tena akija ile version ya kwenye endgame ndo kabisa mkuu.
THOR ODINSON, tena bila hata ya kumweka in his ultimate god level, Anamkalisha vizuri sana Giah.
Kusema Galactus ndio wa kuja kuchapa Giah ni matumizi mabaya ya wale characters.
MCU wamefanikiwa kutengeneza moja ya characters Overpowered, ila huyo character hampigi Thor Odinson, King of Asgard, God of Lighting and Thunder.