Hii scene ya fast x pale kwenye mlipuko wa magari ya mafuta, inafaa kabisa kuombea nafasi ya kuwa ghost rider MCU
Maana ule moto kwenye matairi pale umenogesha sana na ile turbo charger pale daah noma sana
Marvel studio wamebadilisha baadhi ya release date za movie zao
-Deadpool 3 itakuwa 3 may 2024
-Captain america: brave new world itakuwa 26 july 2024
-Thunderbolts itakuwa 12 dec 2024
-Blade itakuwa 14 feb 2025
-Fantastic four itakuwa 2 may 2025
-Avengers: The kang dynasty itakuwa 1 may 2026
-Avengers: secret wars itakuwa 7 may 2027