Wkabi hakuonekana kwenye Wakanda Forever kwakua muigizaji wake Daniel Kaluuya alikua bize. Ratiba ya kushoot BP 2 iliingiliana na kushoot muvi ya NOPE. Hivyo akaona aikache tu BP ila kama zisingeingiliana angeonekana.Black panther 1 & 2
.W'kabi alienda wapi mbona tuliona tu mkewe okoye alimnyoonyeshea spear sehemu ya kwanza halafu hatukumuona tena
Nikiambiwa watu walioitendea vyema black panther Basi sitawaacha d'jaka na Lord M'baku
Wkabi hakuonekana kwenye Wakanda Forever kwakua muigizaji wake Daniel Kaluuya alikua bize. Ratiba ya kushoot BP 2 iliingiliana na kushoot muvi ya NOPE. Hivyo akaona aikache tu BP ila kama zisingeingiliana angeonekana.
Lakini Marvel Studio walivyo na akili sana wamesema kwamba Wkabi hakuonekana kwenye Wakanda Forever kwakua alikua jela kutokana na tukio alilotenda kwenye BP 1 la kupambana na King Tchalla.
Noma sanaWkabi hakuonekana kwenye Wakanda Forever kwakua muigizaji wake Daniel Kaluuya alikua bize. Ratiba ya kushoot BP 2 iliingiliana na kushoot muvi ya NOPE. Hivyo akaona aikache tu BP ila kama zisingeingiliana angeonekana.
Lakini Marvel Studio walivyo na akili sana wamesema kwamba Wkabi hakuonekana kwenye Wakanda Forever kwakua alikua jela kutokana na tukio alilotenda kwenye BP 1 la kupambana na King Tchalla.
Hiyo nope Ni action movie?Wkabi hakuonekana kwenye Wakanda Forever kwakua muigizaji wake Daniel Kaluuya alikua bize. Ratiba ya kushoot BP 2 iliingiliana na kushoot muvi ya NOPE. Hivyo akaona aikache tu BP ila kama zisingeingiliana angeonekana.
Lakini Marvel Studio walivyo na akili sana wamesema kwamba Wkabi hakuonekana kwenye Wakanda Forever kwakua alikua jela kutokana na tukio alilotenda kwenye BP 1 la kupambana na King Tchalla.
Horror/ sci-fi ila inabidi utulize kichwa kwelikweli unaweza usieleweHiyo nope Ni action movie?
Duh hizo sipendiHorror/ sci-fi ila inabidi utulize kichwa kwelikweli unaweza usielewe
Ngoja tuone trailer la black adam lilikuwa kali hivyo hivyo movie ikaja ikawa utumboView attachment 2575980
Inaonekana itakuwa nzuri.
Muvi gani hii?View attachment 2575980
Inaonekana itakuwa nzuri.
Chuma ichoView attachment 2575138
"Pretty like Lupita when the cameras close in" Lupita mzuri bhana na anashape nzuriLupita ni mzuri, ila Shuri kavaa zile code za kiuni sana.
"Pretty like Lupita when the cameras close in" Lupita mzuri bhana na anashape nzuri
YeahAh, Brown skin girl
Ya hamna jokes trailer Lina vibe ya winter soldierNachopenda hapa ni ile serious tone na sio habari za thor
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]thanos kazi anayoView attachment 2579847
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]