Hakuna , labda Civil War
katika watu nawakubali ni Sebastian Stan Bucky Bannes jamaa mkali sana ameitendea haki character yake ile scene anawa attack Sam,Nat na Steve kwenye fly Over ni kali sanaaaa!
Haongei sana Anafanya kazi tu
Mimi naona kule kwenye Winter Soldier alitumika kama weapon, hakuwa na emotion zozote na mtu yeyote, yeye ni kazi kazi. huku kulikoendelea alikuwa binadamu wa kaiwada, ile ruthless lazima ipungue.