Kwenye New password hapo zingatia requirements zao wanazotaka uweke kama Kuwe na herufi kubwa mixer na symbols basi weka... zingatia password unavyoweka zifanane na ziwe strong