20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,261 Mar 19, 2015 #2 Wamama wanadharirika sana ili kupata kitu kidgo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,579 Reaction score 858,005 Mar 19, 2015 Thread starter #3 merengo90 said: Wamama wanadharirika sana ili kupata kitu kidgo Click to expand... Wakirudi nyumbani hoi kila kiungo kinawauma
merengo90 said: Wamama wanadharirika sana ili kupata kitu kidgo Click to expand... Wakirudi nyumbani hoi kila kiungo kinawauma
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 Mar 19, 2015 #4 chama cha maruhani
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Mar 19, 2015 #5 Chezea kupata vitenge na kofia?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,579 Reaction score 858,005 Mar 19, 2015 Thread starter #6 Tyta said: chama cha maruhani Click to expand... Honey Faith said: Chezea kupata vitenge na kofia? Click to expand... Wanapunga pepo wakimaliza hapo wanakuja hapaView attachment 235835
Tyta said: chama cha maruhani Click to expand... Honey Faith said: Chezea kupata vitenge na kofia? Click to expand... Wanapunga pepo wakimaliza hapo wanakuja hapaView attachment 235835
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,560 Reaction score 41,521 Mar 19, 2015 #7 hawa ma ccm nimewashindwa mimi nakwambia
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Mar 19, 2015 #8 wazee wa albino
nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 441 Mar 19, 2015 #9 mshana jr said: Wakirudi nyumbani hoi kila kiungo kinawauma Click to expand... Mpaka viuno vinawauma na kupelekea kuwa na perfomance ndogo katika tendo la ndoa, Unaona jinsi ccm inavyozidi kuharibu ndoa za watanzania? Walianza na kuwashika matiti
mshana jr said: Wakirudi nyumbani hoi kila kiungo kinawauma Click to expand... Mpaka viuno vinawauma na kupelekea kuwa na perfomance ndogo katika tendo la ndoa, Unaona jinsi ccm inavyozidi kuharibu ndoa za watanzania? Walianza na kuwashika matiti
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,576 Reaction score 18,950 Mar 19, 2015 #10 maigizo....
Marumia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 644 Reaction score 213 Mar 19, 2015 #11 Huu ugonjwa unaitwa upungufu wa kinga kichwani!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,579 Reaction score 858,005 Mar 19, 2015 Thread starter #12 Marumia said: Huu ugonjwa unaitwa upungufu wa kinga kichwani! Click to expand... Na umeathiri karibia asilimia mia ya maccm yote
Marumia said: Huu ugonjwa unaitwa upungufu wa kinga kichwani! Click to expand... Na umeathiri karibia asilimia mia ya maccm yote