Marufuku kuvuta sigara China

Marufuku kuvuta sigara China

Cardinal06

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
963
Reaction score
327
Serikali ya China,imepiga marufuku kuvuta sigara katika maeneo yote ya wazi katika mji wa Beijing. Maelfu ya maafisa wameanza kufanya ukaguzi katika maeneo yote ya wazi na watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa faini.

Hata hivyo China ina wavuta sigara milioni mia tatu wakati sheria ya kusitisha wavutaji sigara katika maeneo ya wazi ya mji wa Beijing ilipopitishwa kwa mara ya kwanza na kushindwa kutekelezeka. Ripoti inasema kuwa watu wengi wanadhani sheria hiyo ya kukataza kabisa uvutaji sigara haitafanya kazi
.

Chanzo: BBC
 
Wavuta sigara milioni mia ngapi? Aisee china ni zaidi ya nchi
 
Idadi ya wavuta sigara tu ni zaidi ya mara sita ya idadi ya watanzania wote?
 
Who will deny that, a cigarette has fire at one end and a fool at the other ?
 
China watu wanavuta sigara kama wamechanganyikiwa vile.
 
Sigara ni janga, huwa nawaonea huruma sana walioathirika na hii starehe.
 
za uko ni utamaduni vip ku wa uwa mana sigara ni sumu zina ku uwa fastaa.
 
January nilitembelea jimbo moja linaitwa SICHUAN yaani wale watu wanavuta sigara ni hatari
 
Back
Top Bottom