SUPER PREDATOR
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 2,093
- 725
Ww chochea tu walishe sumu vijana Wakubali kukaa karibu na kituo cha kura, lkn watakaoumia ni mm na ww lkn sio Lowasa wala Magufuri wao nyumba zao zitakua na ulinzi mkali.
eti nitakutafuta baada ya uchaguzi, hivi unadhani mimi naweza kukaa na ccm? , yaani ni afadhali nikae na nyoka aina ya swila, kifutu, au aina zingine zote za kobra lakini sio kukaa na liccm kama wewe.Haya ndugu yangu wacha tuone kitatokea nini bado tar25 ili tuendelee na maisha, lkn kumbuka huu ndio ulikua mwaka wetu wapinzani kuchukua nchi kwa jinsi viongozi walivyokua wanajitolea muhanga kwa kuikosoa serikali, baadhi yao waleta tamaa mbele mauti nyuma,kwa kweli tumepoteza dira, pale tu tulipomkaribisha Lowasa sikulazimishi kukubali hilo lkn nitakutafuta baada ya uchaguzi.
Hivi ukawa haina wasimamizi ndani ya vituo vya kura au hamuaminiani?
Ma ccm bana yaani yanapenda kubadili ukweli, mimi nasema kusubiria matokeo yabandikwe kwenye vituo ni kosa yeye kahamia kwa Dr. Slaaa yaani sijui yakoje haya majitu.Wako wapi mbowe,mdee nassari,mnyika kwa kweli hawa niliwakubali sana na nilkua nawafatilia sana hutuba zao walipokua bungeni, na hassa pale walipokua wanamponda Lowasa na ile kashfa ufisadi lkn sasa wamezibwa midomo wanaongea kwa kuvizia nawapa pole sana, najiuliza hawa watu wapo? Kwa kweli sipati jibu,lkn kumbuka tamaa mbele mauti nyuma mmeona mmepata kumbe mmepatikana, BigUp Dr Slaa,mpenda maendelea na mtaka mabadiliko ya kweli.
eti nitakutafuta baada ya uchaguzi, hivi unadhani mimi naweza kukaa na ccm? , yaani ni afadhali nikae na nyoka aina ya swila, kifutu, au aina zingine zote za kobra lakini sio kukaa na liccm kama wewe.
Swala hapa sio UKAWA kutokua na wasimamizi/wakala, ishu hapa ni kwa nn NEC wanavunja sheria inayoruhusu watu kukaa umbali wa mita mia, wana ajenda gani mpaka washinikize hii sheria kuvunjwa?? Na kwa maslahi ya nani???Hivi ukawa haina wasimamizi ndani ya vituo vya kura au hamuaminiani?
Hivi watu wote wakikaa kusubiri kura zao maisha yatakuwaje.....ujinga wa mnyika wenu akakae mwenyewe....mnasahau kuwa kuna sheria inazuia mikusanyiko isiyoruhusiwa kisheria..mkionekana kama kikundi mnapigwa