marufuku kuachana kwenye ujauzito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

marufuku kuachana kwenye ujauzito

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 10, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  akofu wam jimbo la muleba kaskazini amewaasa wanandoa kuacha kucheza na mungu huku akiongea kwa masikitiko amesema ndoa nyingi hivi sasa zinakuwa kama mchezo wa kuigiza..bnaya zaidi jamani ubinadamu umewatoka vijana wetu wanaacha mke wakati wa ujauzito;hili nasema marufuku kumwacha mkeo wakati wa ujauzito ...najua wengi watakaouliza hili ila naombna tukiheshimu kiumbe kilicho ndani kuliko yoyote...huku watu wakishangilia mmoja wanaibada alisema duh jamaa kweli kaamua..

  kwa upande wetu kweli akuna haja ya kutoambiana ukweli acheni kufanya ndoa kama comedy kama auko tayari acha kuoa ama kuolewa
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.askofu yupo sahihi kabisa.
  2.kuachana kupo iwe kwa mujibu wa biblia au sheria ya ndoa ya mwaka 1971.
  3.pamoja na labda makosa makubwa aliyotenda mkeo,mwanamume inabidi tuwe na roho ya kiutu na kibinadamu.
  4.pamoja na kuwa unakila uhakika kuwa mimba si yako,lakini bado utu unahitajika.kiumbe wa tumboni hana kosa lolote,
  kwa nini unamwadhibu?ni ushetani huo.
  5.ni vema na ni busara ukakaa kimya na kuvumilia, mkeo/mpenzi wako akishajifungua mtoto, sasa waweza kuanzisha mipango ya talaka,hapo hata mungu atakuwa upande wako(hasa ikiwa mnaachana kwa ajili ya zinaa ya mkeo)
  6.pamoja na hayo jamii nzima itakuona wewe mwanamme mwenzangu hufai ukimwacha mkeo ili hali mjamzito,watasema kazi yako ni kujaza mimba na kukimbia.na ikitokea mkeo
  akakuchomekea kuwa kanikimbia kwa vile nina mimba....umekwisha kila mtu atamuunga mkono na kukulaani wewe kumbe kosa ni lake mkeo, huenda kazini na kupewa mimba labda na house boy wako.subira na busara ni muhimu tuache hasira,siku zote hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu....biblia inasema hivyo.
   
 3. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huenda watu wengi wanapooana inakuwa wanajaribu kuona kama inawezekana au vipi? na hasa mimba inapoingia si unajua mikikimikiki ya kulea mimba nadhani ndio maana wengi wanakula kona!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa, dunia imeharibika.
  Ndoa zimekuwa kama sinema, unaangalia movie na baadae huitaki tena
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  a very good advice.... labda tungejua ni askofu wa dehebu gani; kama ni mkatoliki sitamuamini [mimi ni RC] kwani hajaingia kwenye ngoma huyo akacheza

  ndoa ni very complex
   
Loading...