Marudio ya chaguzi Zanzibar - Balozi zanena

MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,952
10,500
U.S. Embassy Tanzania
January 29 at 6:17pm · Dar es Salaam, Tanzania ·

Dar es Salaam, 29 January, 2016
STATEMENT ON ANNOUNCEMENT OF ELECTION RE-RUN IN ZANZIBAR

The High Commissioners and Ambassadors to Tanzania of Belgium, Canada,Denmark, the European Union, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Norway, Spain, Sweden, Switzerland, the United Kingdom and the United States, today issued the following statement regarding the recent announcement of an election re-run in Zanzibar:

“We reiterate our concern with the Zanzibar Electoral Commission’s decision to annul the election of October 25, 2015, without having provided evidence to substantiate its claim that irregularities had taken place, and despite the positive assessments of electoral observation missions conducted by the Commonwealth Secretariat, the African Union, the Southern African Development Community, the East African Community, the European Union, and the United States of America.

“We regret that an election re-run was announced, while a dialogue between parties was still ongoing. For the benefit of all Tanzanians, we reaffirm our belief that the current political impasse in Zanzibar would be best addressed through a mutually acceptable and negotiated solution.

“We are deeply concerned that the unilateral declaration of a re-run may lead to an escalation of intimidation and tensions. We commend the population of Zanzibar for having exercised calm and restraint to this date, and call on all parties and their supporters to continue to work together towards finding a peaceful solution.

“In order to be credible, electoral processes must be inclusive and representative. Under the current circumstances, the provision of international electoral observation would be difficult to consider.

“We urge President Magufuli to exercise leadership in this political impasse, and to pursue his previous calls for a negotiated solution between parties, so as to ensure a peaceful outcome, but also one that ensures the integrity of the electoral process.
 
Magu wakati anaongea na wazee wa Ccm Dar alisema kisheia hana uwezo wa kuingilia maamuzi ya Jecha Zanzibar. Ila ana uwezo wa kuingilia kwa wale watakao leta fyokofyoko. Ngoja wazungu naye wamtulize sasa, kwa hali hii ya Zanzibar bora tuwekewe vikwazo tu labda akili itatukaa sawa.
 
Subiri wenyewe waje. Jecha haingiliwi-anaongoza tume huru. JPM hayamhusu kikatiba. Hatuhitaji misaada. UKAWA wana-abudu wadhungu. Hawa mabalozi wakale malimao. etc Labda hawa jamaa wanaleta FYOKO FYOKO nao wadhibitiwe.
 
Naomba wananchi na wabunge na vyama vya upinzani kwa nguvu zetu zote tuiombe serikali kutupatia katiba ya jaji Warioba kwa nguvu zetu zote. bila ya hivyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Tanzania has whole is a sovereign state. hivyo Mataifa ya nje hawawezi kuingilia mambo ya Taifa wanazotoa ni opinions tu.
 
Hii TANZANIA INABIDI ICHAPWE VIBOKO VYA KUTOSHA KWA HUU UNAFIKI MZITO UNAOENDEELEA.
Inawezekanaje uone ndugu yako anatoa maamuzi mabovu na yanayonuka kabisa alafu unajitetea huwezi kumbwambia au kuingilia na hapo hapo unatoa tahadhari ole wake atakayeingilia matokeo ya maamuzi yake ma kupinga huu upuuzi wa huyu ndugu yako?????? Hii ni sahihi kweli, au kuna janja ya nyani ya kubebana hapa.
 
Magufuli awaambie nao waende mahakamani, yeye si anajidai gaidi? Awatafute wale kina Sadam wa Kuwait walipo sasa hivi, mzungu ni mbabe kuliko anavyowapima.
 
viongozi wa Tanzania wanataka kuijaribu njaa ya kimataifa , sumu haijaribiwi kwa kuonja .
 
Mhhhhh hapa mbona ni kama wameweka kiingilio msibani?..............hali tete marehemu wetu tutamzika wenyewe!!!
 
" We reitrate our concern with ZEC's decision to annul the election of 25 OCT without having provided evidence to substantiate its claims that irregularities had taken place " Mwisho wa kunukuu , sasa wale wachumia tumbo wa lumumba njooni mseme kwa niaba ya Salum Jecha , maana mwenyewe kashindwa , Wito wangu kwa wazungu hakuna haja ya mazungumzo tena , Toeni amri ili mshindi halali atangazwe .
 
Subiri wenyewe waje. Jecha haingiliwi-anaongoza tume huru. JPM hayamhusu kikatiba. Hatuhitaji misaada. UKAWA wana-abudu wadhungu. Hawa mabalozi wakale malimao. etc Labda hawa jamaa wanaleta FYOKO FYOKO nao wadhibitiwe.
Acha mambo ya kuropoka ushakuwa mtu mzima . Ya UKAWA yameingiaje kwenye hii post kama siyo wehu wako na kusema sema ovyo. Watu tunajadili vitu vya msingi wewe unaleta utoto. Tukiwekewa vikwazo ni nyie omba omba ndo mtaumia.Leo unawaita UKAWA Ni wa kuhusudisha wazungu wakati JK rais kupitia chama chako kazunguka dunia nzima hadi kushina kupiga picha na kina Beckham. Narudi acha utoto
 
UPINZANI TANZANIA NA AKILI NDOGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Unataka tukae tukisifia kama CCM wanavyofanya? 2010 walisema Elimu bure haiwezekani ila alipokuja Magufuli kusema Elimu bure wote waaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bila ya kuangalia mtafanikishaje. Leo anawatumbua mnajiliza kimya kimya bila kulalamika. Kazi ya upinzani ni kukosoa siyo kulalamika. Malalamiko ni kama hii ya kubania ushindi wa wenzenu kwa vigezo visivyokidhi haja.
 
Hii TANZANIA INABIDI ICHAPWE VIBOKO VYA KUTOSHA KWA HUU UNAFIKI MZITO UNAOENDEELEA.
Inawezekanaje uone ndugu yako anatoa maamuzi mabovu na yanayonuka kabisa alafu unajitetea huwezi kumbwambia au kuingilia na hapo hapo unatoa tahadhari ole wake atakayeingilia matokeo ya maamuzi yake ma kupinga huu upuuzi wa huyu ndugu yako?????? Hii ni sahihi kweli, au kuna janja ya nyani ya kubebana hapa.
Kwani wakati wazanzibar wanatunga katiba walimshirikisha nani kutoka bara?
 
Acha mambo ya kuropoka ushakuwa mtu mzima . Ya UKAWA yameingiaje kwenye hii post kama siyo wehu wako na kusema sema ovyo. Watu tunajadili vitu vya msingi wewe unaleta utoto. Tukiwekewa vikwazo ni nyie omba omba ndo mtaumia.Leo unawaita UKAWA Ni wa kuhusudisha wazungu wakati JK rais kupitia chama chako kazunguka dunia nzima hadi kushina kupiga picha na kina Beckham. Narudi acha utoto

Soma tena kwa umakini niliyo- andika na jinsi nilivyo yaandika. You missed my point completely. Sasa mwenye utoto na mropokaji ni nani kati yetu? Tafakari!!!!! Matusi hayakusaidii.
 
Back
Top Bottom