Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,488
- 16,646
Kama kuna wapalestina hawajasoma yanayowapata wenzao wanaojipendekeza kwa adui basi wasome mikasa inayowapata marubani hodari walioshirikiana na jeshi la Marekani kuwapiga wenzao wa Taliban.
Marubani hao kama vile Tauheed Khan wamekuwa wakipata vitisho na kufokewa kama mbwa koko ili wafungashe warudi kule walikotoka wakiwakimbia Taliban siku walipowafurusha wamarekani.
Mkasa kama wa marubani unawaandama warembo wapiga gitaa ambao walikuwa wakitumbuiza Kabul wakati nchi yao ilipokuwa chini ya utawala wa kijeshi wa Marekani.
Taliban walipoingia madarakan kwa kujua hawaendekezi miziki madada hao wakiwa wasichana waliona bora wawafuate wamarekani huko kwao.Sasa mambo yamebadilika na hawana furaha tena kuishi huko kutokana na hofu ya kurudishwa Kabul na utawala wa Trump.