Martin Munisi ajitosa mbio za ubunge Hai

Martin Munisi ajitosa mbio za ubunge Hai

photo mee

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
608
Reaction score
93
Martin munisi ambaye ni mwkt wa uvccm wilaya ya Arusha mjini amejisa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Hai

jimbo la Hai ambalo linalo ongozwa na Freman mbowe chadema wana ccm wengine waliyo jitokeza mpaka sasa ni wa tano Fuya Dastan malya nk.

Munisi akiongea na Hai Fm alisema yeye anamashaka na kura za maoni ndani ya chama tuu ila ushindi kwa wananchi upo nje kabisa mbowe ni size yangu naleta ushindi saa tatu asubuhi

kwa miaka kumi ame shindwa kutuwakilisha
 
Back
Top Bottom