Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,142
- 162,538
Tangu Tundu Lissu ataje orodha ya mashahidi wake, mashahidi kutoka Kenya na Uganda ambao hawakuwepo eneo la tukio (kwenye mkutano ambao Lissu alisema "tutakinukisha") na ambao si hata viongozi wa CHADEMA, nimebaki najiuliza swali hili:
Watu hawa(Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi) watakuja kutoa ushahidi gani katika hii kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu?
Kwa maneno mengine, wanahusikaje na hii kesi?
Je, watakuja kufafanua vifungu vya sheria ya uhaini kulingana na sheria yenyewe ya uhaini kwa kuulizwa na mshitakiwa mahakamani?
Lissu, kama mwanasheria mbobezi, ni wazi anajua umuhimu wa ushahidi wa hawa mashahidi kutoka Kenya na Uganda kwenye kesi yake.
Wanasheria mnaolewa haya mambo, tunaomba mtupe walau Mwanga kuhusu haya mambo ya kisheria kabla ya wahusika kuanza kutoa ushahidi wao mahakamani.
Waandishi wa habari wa humu nchini, mnashindwa kutafuta wanasheria na mkawahoji ili watu tupate uelewa wa hili jambo kabla wahusika hawajaanza kutoa ushahidi wao mahakamani?
NB: Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi, teyari wamekubali kuja kutoa ushahidi wao katika hii kesi ya uhaini inayomkabilishi Tundu Lissu.