Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,646
- 4,489
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Upuuzi mtupu
Fiambali huko choko wwUpuuzi mtupu
diamond uwa ana malengo leo akiwa hapa kesho anatamani awe pale ndiyo maana anajitaidi sana kutoa kitu kizuri kuliko alichokitoaHongera sana kwake laiti ningekuwa msanii ningejisogeza kwa jamaa angalau awe ananimegea tekniki za hiyo fani!
Kila akutoa ngoma anajitahidi iwe bora kabisa kuliko ya jana!
Wengi wanashindwa kuendelea kutoa ngoma nzuri mfano ukilinganisha ngoma za wasanii hawa:
Benpol- moyo mashine VS phone
Baraka da prince- siwezi Vs nisamehe
Chege-waache waoane Vs kelele za chura
Nawengine wengi mtanisaidia, ambao ngoma zao za nyumba zinabamba zaidi kuliko za karibuni
Umeitwa??Upuuzi mtupu
exactly.Diamond atabaki kuwa Diamond..
jamaa katufanya tuwe na cha kujivunia..
kafanya lisilowezekana kuwezekana[emoji20][emoji20]
kama sio yeye nani angetupeleka international[emoji24][emoji24]
nani angetufanya tujitutumue[emoji26][emoji26]
diamond pekeyake ... chini ya lundo la wasanii wapopo zaidi ya 20 walioko kwenye trend list anawaburuza bila woga....
Tutampata wapi kama diamond, jeshi la mtu mmoko...
haitatokea hata siku moja.. kuwepo hero kama diamond....
amefanikiwa kuweka rekodi zake Tanzania na Africa kama miongoni mwa wasanii wanaosumbua na wanaopendwa...
Mungu amuweke zaidi Diamond platnumz....
Heshima za magoti mawili yote zimfikie...
Anahamasisha sana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nani kaandika nyimbo mkuuNachukia mtu anapoandika nyimbo badala ya wimbo
Ni sahii kabisa kwa sasa jamaa hana mpyaAmna kitu hapo!
Kwanini isitambe kwa mbagala hapa tu, iende kutamba huko?
Kwa hiyo ngoma mkubali tu, jamaa amedrop
Mkuu usiwe na shida ya ushabiki wa kufia utaumia sana hahahah na kiukweli ukiacha mbwembwe za ushabiki hamna kitu hapo.Fiambali huko choko ww
pita kushoto sijakuita huku niache na ushabiki wanguJaj
Mkuu usiwe na shida ya ushabiki wa kufia utaumia sana hahahah na kiukweli ukiacha mbwembwe za ushabiki hamna kitu hapo.
Huu wimbo siyo wa nchi hii subirini za bongo soon tunatoa album ya bongo tuAmna kitu hapo!
Kwanini isitambe kwa mbagala hapa tu, iende kutamba huko?
Kwa hiyo ngoma mkubali tu, jamaa amedrop
akina Tecno wanatoa nyimbo za nchi gani vile?Huu wimbo siyo wa nchi hii subirini za bongo soon tunatoa album ya bongo tu