Kwanini ukimbilie kuoa/kuolewa wakati mnatambua kabisa hamjafahamiana vizuri....Huoni kama matatizo mengine tunajitakia kwa kukurupuka kwetu? Nan alaumiwe hapo?
muda gani hasa unafikiri unatosha kumfahamu mwenzio kabla hamjafunga ndoa?
Kwanini ukimbilie kuoa/kuolewa wakati mnatambua kabisa hamjafahamiana vizuri....Huoni kama matatizo mengine tunajitakia kwa kukurupuka kwetu? Nan alaumiwe hapo?
no exactly time but at least mpate muda wa kutosha kumfahamu mwenzako. Hivi wiki moja itatosha kumfahamu mtu kitabia? Nilishakuwa na mahusiano na gal mmoja 4 two years, ananifichia umri wake. Alijitahidi sana kuficha document zinazoonyesha mwaka wake wa kuzaliwa, nilipojua tu siku hiyo, ugomvi ukaanzia hapo hadi kuachana.
Kwa hiyo wewe kwako umri ndo.kigezo sahihi cha ndoa?
English learning post! 40/100√ below standardMarry in haste (repent at leisure) mean that; ''people who are marry quickly, without really getting to know each other, may discover later that they have made a mistake''
English learning post! 40/100√ below standard
mh?wewe nawe!
lakini ni wachache wanaoshindwa kumanage malezi,waliowengi wanajitahid kulea...hao watoto wa mitaan wanajaa kwa sababu nyingine tofaut na hiico hao tu mkuu, wengine wanazaa wakiwa wadogo sana, they dont plan, wanatujazia watoto wasio na malezi mitaani...
Sijawahi ......Mkuu hujawahi kufanya mazoezi na mechi siku hiyohiyo?
samahani kwa swali lkn.
Sijawahi ......
usijali swali lako co la makwazo..
Kwanini ukimbilie kuoa/kuolewa wakati mnatambua kabisa hamjafahamiana vizuri....Huoni kama matatizo mengine tunajitakia kwa kukurupuka kwetu? Nan alaumiwe hapo?