SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 550
- 1,299
Huyu ame-set levels ziwe juu sana kwa baharia wenzetu...!
Kwa kipindi hicho ambacho pesa ipo..Hapo pana Upendo wa dhat sanaa, kwa pande zote
NakaziaWataachana tu
Upendo na pesaHapo pana Upendo wa dhat sanaa, kwa pande zote
Mkuu umeongea kwa hasira sana 😂 😂Wasipoachana basi mmoja atameza nondo kwa bahati mbaya atakufa
😅😅😅JamaniiUkute kanawaza upuuzi like,
Lakini jofrey sitamwacha ateseke,nitakuwa nampelekea hata huyu anihamishe nchi.
Huyu ame-set levels ziwe juu sana kwa baharia wenzetu...! View attachment 1891251View attachment 1891254View attachment 1891255View attachment 1891256