Hao watoto ni kwa faida ya nani kwanza tuanzie hapoUkiwa na watoto na mke wako mfanyakazi au mfanyabiashara na wewe pia mfanyakazi au wote wafanyabiashara utaelewa dhana ya mke mama wa nyumbani anashiriki vipi kutafuta mali za familia.
Watoto wanaumwa au mzazi unahitajika shuleni kwa mtoto huku wote shughuli zenu zinawahitaji muwepo ofisini utaelewa hii dhana.
Wote mnahitajika kusafiri au mmoja kazini mwingine safari ya kikazi no changamoto. Huwezi kumuachia majukumu yote mfanyakazi wa ndani hasa hayo niliyotolea mifano.
Ukiwa na mke mama wa nyumbani unarudi unakuta vitu vyote vipo sawa, watoto Wana maadili na tabia njema, wanavaa nguo safi, wanakula vizuri japo kwa pesa yako unakuwa na mawazo kama yako.
Sababu hujapata changamoto nilizo toleq mifano kwa vile mkeo alikuwepo badala yako kusimamia hayo yote.
Ukiona unajisubirisha kuolewa ila unaona wazi kabisa hodi nyingi za posa, jua haupo serious na soon ujiandae na majuto.Mkuu! Mimi badobado nifike atleast 25
Tunarudi kule kule lazima mke akae nyumbani ili mambo yaende sababu hata yeye ukitengana nae ukamuacha na watoto, still akitoka atataka mwanamke mwenzake (house girl) abakie nyumbani kutazama watoto, why kwann asiweke mwanaume atazame watoto, sababu anajua ukweli kuwa mwanaume hakaagi nyumbani kutazama watoto.Kutokana na tafiti zilizofsnywa na taasisi moja nchini Kenya imebainisha kuwa ukilinganisha amani na utangamanonkayi ya ndoa za:-
1. Mume mfanya(kazi/biashara) VS mke mfanya(kazi/biashara).
2. Mume mfanya(kazi/biashara) VS mke mama wa nyumbani.
Ndoa namba 2 zina more stable families living joyfully and happily ukilinganisha ndoa namba 1.
Namba 1 pesa ipo lkn wala haifanyi kazi ya kulea vema watoto mliowatafuta. Watoto muda maisha yao % kubwa wako na house girls tu. Na mwisho pesa hiyo hiyo itasimama kama shetani wa kuisamabaratisha hiyo ndoa.
Kumbe unacheza na akili za watu. Unajua kabisa swala ni nini wewe unaleta mizaha?Najua umemaanisha 'endelea kusubiri hivyohivyo uzeeke kwenu'[emoji23]
1. Siwezi kusoma nikiwa ndani ya ndoa1. Mipango gani ambayo unahitaji kufanya before ndoa na haitaweza fanyika ukiwa ndani ya ndoa?
2. Kwann ndoa iwe mpango wa 3 why usifanye isiwepo kabisa si haina umuhimu au?
3. So unahisi mwanaume anapokuja kukutongoza akuoe ni kwa faida yake pekee yake yaani kwa maneno mengine unasema ndoa ni 100% kwaajiri ya mwanaume wewe unakwenda kumfaidisha tu na bila wewe kama mwanamke basi mwanaume hana maisha ya nje ya ndoa kama wewe hapo unavyojinasibu kuwa una mipango yako nje ya ndoa unahisi mwanaume hana?
4. Mipango gani ambayo mwanaume amekamilisha ndipo aoe hebu nipe ufafanuzi eneo hilo labda mimi kuna vitu kama mwanaume sivifahamu au sijavikamilisha.
5. Ni stress gani ambazo anakuwa nazo mwanamke ambazo zinaweza kuwa kikwazo katika kutumikia ndoa yake kwa umakini?
6. Kitu kinakuwaje cha muhimu halafu kisiwe cha ulazima?
7. So una muda gani wa kufanya mipango yako na wakati ukifanya hiyo mipango unakuwa single bila kuwa na mahusiano yaani hakuna kuingiliwa kimwili na mtu?
8. Je hiyo mipango yako inafaida gani kwa huyo unayekwenda kuolewa nae na kuishi nae pamoja na kama ina faida nae why ufanye pekee yako?
Naomba unijibie hayo maswali kwanza.
Tafuta ajira kwanzaSheria ya ndoa imemtasfiri mwanamke wa kizazi cha nyuma kidogo ambae alikua na maadili mema, mtiifu na ana dhamira ya dhati kuidumisha ndoa yake. Kwa sasa wanawake wamejanjaluka na washaona sheria ya ndoa na mahusiano kiujumla ina mianya ambayo inaweza kuwapa pesa/utajiri kirahisi.
Hata wanawake wanaotetea ndoa point zao huwa wanazielekeza zaidi kwenye kuonyesha madhaifu ya wanaume ili ionekane jinsia zote mbili zina shida lakini hapo kwenye upendeleo wanaopewa na sheria mfano kugawana mali ambazo hawanashiriki kuzitafuta huwa hawapagusi.
Kwa mwanaume mwenye ndoto kubwa za kufika mbali kiuchumi basi ndoa ni mtego mkali sana ambao uko mbeleni unaweza kwenda kuiangusha himaya yako uliyoitolea jasho kuijenga kwa miongo mingi
Kwa mwanamke ambae hana mchango wa moja kwa moja kwenye shughuli za kiuchumi za mwanaume sioni kama ana uhalali wa kupata mgao wa mali baada ya ndoa kuvunjika, hivi mke ambae ni std 7 au o-level failure atatoa mchango gani kuhusu masuala ya tax clearance au business law kwenye biashara zangu?
Kama suala ni kuitunza nyumba na kunipikia chakula je yeye alikua haishi hapo? Alikua hali hapo? Kama mimi natakiwa kufidia muda na jitihada zake kunitunzia nyumba na kunipikiq chakula kupitia kugawana mali mbona mwanamke hawajibiki kunirudishia fidia ya gharama nilizoingia kumpa hifadhi na chakula na matunzo mengine(mavazi, matibabu n.k)?
Kuna watu watakuja hapa kusema vijana tunaona malaya, tunachagua mke instagramu n.k, lakini kumbuka watu wanabadilika hata ukimchukua mke ambae hajasoma uko kijijini sio guatantee ya kusema atabaki ivyo ivyo siku zote.
Hofu ya mustakabali wa maisha ndio umfanya mwanamke aone ndoa ni security kwake. Mwanamke huyu akishapata uhakika wa mustakabli wa maisha yake bila kumtegemea mwanaume basi uona mwanaume ni kikwazo kwake katika kujitawala na hapa ndipo hekaheka zinaanza. Ni wakati wa sheria kumuangalia mwanamke pia kama predator.
1. Na hicho ndicho nilichokuwa nakisema kwamba wanaume hamjui mnachotaka, sasa mnapotaka wanawake wajitunze mlikuwa mnafikiri mtapata wapi wanawake wa kufanya nao ngono kabla ya ndoa, hiyo inamaanisha kwamba na ninyi mtatakiwa mjitunze ili mkutane kwenye ndoa mkiwa wote mmejitunza na kama mnaona ngumu hamuwezi basi msiwalaumu wanawakeOkay, nina maswali kwako?
1. Nini kitatokea kama wanawake watagomea wanaume kulala nao hadi tu pale watakapojicommit kwa familia zao kwa kuja na wazazi wao kutoa posa na kuoa kihalali, je wanaume wakikutana na huo utaratibu watapata vipi mwanamke wa kufanya nae mahusiano ya kingono nje ya ndoa?
2. So katika haya maelezo yako yote umefanya assumption kuwa mwanamke hana akili wala ufahamu wa kutambua umuhimu wa bikra yake mwenyewe katika kuanza maisha na mwanaume, why aiweke rehani akijua thamani yake, so wanawake hajui thamani ya bikra?
3. Kama una assume wanawake hawajui thamani ya Bikra then nikuulize je ni sahihi pia kwa mwanaume kutojua wajibu wa kujali na kumtunza mke wake atakae muoa? Kama umeweza kumpa mwanamke pass ya kutothamini kitu kinachompa thamani muhimu kama mke wa mtu then automatically unaopia uhalali wa kuassume ni sahihi kwa wanaume wote kupewa pass au kukaushiwa kama wanafeli majukumu yao kwa makusudi, si ndio?
4. Umezungumzia swala la wanaume kutongoza mabinti kama ndio sababu ya mabinti wa kisasa kutokuwa na bikra na kutozitunza, nikuulize mama zetu na bibi zetu unadhani walikuwa hawatongozwi miaka hiyo, haukusikia story zao wakihadithia namna waliwakwepa babu zetu kwa sharti kuwa wakapose kwanza makwao ndipo mengine yataendelea haujawahi sikia hizo story, je swali langu kwako, unahisi ni wanaume wameshusha standards zao kama wanaume au ni wanawake wameacha kusimamia misimamo itakayolinda utu wao kwa wanaume na kuwaandaa kuheshimiwa katika ndoa kama wanawake wanaolinda miili yao?
5. Unajua kwamba kwa wastani miaka hii binti wa kisasa kati ya umri wa miaka 16 hadi 25 huwa ndoa kwake ni kosa, yaani ukimwambia nataka nikuoe na ukiwa tayari kwa kufanya hilo jambo basi atakukataa kwasababu mbali mbali kama kujiona bado mtoto kwa ndoa, shinikizo la wazazi kuwa asome kwanza mahusiano ni baadae, ulimbukeni wa uhuru wa kujiachia umri wa usichana ili watumike kwanza sababu soko la ngono linawaita sana, wanaume wa rika lao wanakuwa bado hawana pesa na mali hivyo kuolewa nao ni kujifunga na maisha ya usichana na kupitwa na fursa nyingi za kujipatia mali.
Je, swali langu, ni nani huwa anamkataa mwenzake katika umri wa miaka 16 hadi 25 kati ya binti ambaye ndio anachanua au kijana ambae bado ndio anajitafuta anauwezo wa kumudu vitu vidogo sana ila maisha ya kuishi pamoja na mke anaweza kujikongoja ,tuongee ukweli, Mwanamke katika umri huo masharti yake ili umuoe uishi nae kama mke na tamaa yake ya kuolewa huwa inakuwa sawa sawa na akifika kuanzia miaka 28 hadi 30+ huko? [emoji848][emoji848][emoji848]
Umeandika vizuri sana na ukweli mtupu .Sheria ya ndoa imemtasfiri mwanamke wa kizazi cha nyuma kidogo ambae alikua na maadili mema, mtiifu na ana dhamira ya dhati kuidumisha ndoa yake. Kwa sasa wanawake wamejanjaluka na washaona sheria ya ndoa na mahusiano kiujumla ina mianya ambayo inaweza kuwapa pesa/utajiri kirahisi.
Hata wanawake wanaotetea ndoa point zao huwa wanazielekeza zaidi kwenye kuonyesha madhaifu ya wanaume ili ionekane jinsia zote mbili zina shida lakini hapo kwenye upendeleo wanaopewa na sheria mfano kugawana mali ambazo hawanashiriki kuzitafuta huwa hawapagusi.
Kwa mwanaume mwenye ndoto kubwa za kufika mbali kiuchumi basi ndoa ni mtego mkali sana ambao uko mbeleni unaweza kwenda kuiangusha himaya yako uliyoitolea jasho kuijenga kwa miongo mingi
Kwa mwanamke ambae hana mchango wa moja kwa moja kwenye shughuli za kiuchumi za mwanaume sioni kama ana uhalali wa kupata mgao wa mali baada ya ndoa kuvunjika, hivi mke ambae ni std 7 au o-level failure atatoa mchango gani kuhusu masuala ya tax clearance au business law kwenye biashara zangu?
Kama suala ni kuitunza nyumba na kunipikia chakula je yeye alikua haishi hapo? Alikua hali hapo? Kama mimi natakiwa kufidia muda na jitihada zake kunitunzia nyumba na kunipikiq chakula kupitia kugawana mali mbona mwanamke hawajibiki kunirudishia fidia ya gharama nilizoingia kumpa hifadhi na chakula na matunzo mengine(mavazi, matibabu n.k)?
Kuna watu watakuja hapa kusema vijana tunaona malaya, tunachagua mke instagramu n.k, lakini kumbuka watu wanabadilika hata ukimchukua mke ambae hajasoma uko kijijini sio guatantee ya kusema atabaki ivyo ivyo siku zote.
Hofu ya mustakabali wa maisha ndio umfanya mwanamke aone ndoa ni security kwake. Mwanamke huyu akishapata uhakika wa mustakabli wa maisha yake bila kumtegemea mwanaume basi uona mwanaume ni kikwazo kwake katika kujitawala na hapa ndipo hekaheka zinaanza. Ni wakati wa sheria kumuangalia mw
Si unaona sasa na hapo ndipo tatizo lilipo hapo ambapo wanaume hamtaki kukubali kwamba mna makosa kwahiyo wewe suala la kutaka kula na kusepa kisa kakataa kuolewa na wewe unajiona uko sawa, huwa nashindwa kuelewa kwanini wanaume you never take no for an answer when it comes to approaching women sijui kwanini huwa mnahisi mna haki ya kukubaliwa tu na mwanamke yeyote yule mnayetongoza na mkikataliwa basi inakuwa ni uadui na visasi where do you get this sense of entitlement from, kama mtu amekataa kuolewa na wewe kuna ulazima gani wa kuzini naye si umuache uendelee kutafuta yule ambaye atakuwa tayari kuolewa na wewe kisha umuoe na kama mnaona hilo ni gumu hamuwezi sasa hizi lawama na matusi kwa wanawake vinatoka wapi wakati ninyi ndio mnafanya kila namna ili muwashawishi wanawake wasiowapenda kwa kutumia udhaifu wao to fall into your trap..pathetic!!@Jadda njoo usome hapa, mtu anataka kuoa anajibiwa "bado nipo nipo kwanza". Sasa kwann nisimtafutie ela ya simu mpya, saloon na kitimoto ili anipe hata nafasi ya kumkula tu kisha nitemane nae.
Bora mtu usiolewe kuliko kukubali kuolewa na yeyote muhimu anapumua.Si unaona sasa na hapo ndipo tatizo lilipo hapo ambapo wanaume hamtaki kukubali kwamba mna makosa kwahiyo wewe suala la kutaka kula na kusepa kisa kakataa kuolewa na wewe unajiona uko sawa, huwa nashindwa kuelewa kwanini wanaume you never take no for an answer when it comes to approaching women sijui kwanini huwa mnahisi mna haki ya kukubaliwa tu na mwanamke yeyote yule mnayetongoza na mkikataliwa basi inakuwa ni uadui na visasi where do you get this sense of entitlement from, kama mtu amekataa kuolewa na wewe kuna ulazima gani wa kuzini naye si umuache uendelee kutafuta yule ambaye atakuwa tayari kuolewa na wewe kisha umuoe na kama mnaona hilo ni gumu hamuwezi sasa hizi lawama na matusi kwa wanawake vinatoka wapi wakati ninyi ndio mnafanya kila namna ili muwashawishi wanawake wasiowapenda kwa kutumia udhaifu wao to fall into your trap..pathetic!!
Swadakta mkuuTunarudi kule kule lazima mke akae nyumbani ili mambo yaende sababu hata yeye ukitengana nae ukamuacha na watoto, still akitoka atataka mwanamke mwenzake (house girl) abakie nyumbani kutazama watoto, why kwann asiweke mwanaume atazame watoto, sababu anajua ukweli kuwa mwanaume hakaagi nyumbani kutazama watoto.
Uko vizuri katika vita ya kisaikolojia! 😂😂Wanawake wa kiafrika wameiga life style ya wanawake wa kizungu bila kujua wenzao wana advantage ya kiuchumi kuwa na mazingira na maisha mazuri so hata maswala ya kifedha sio issue sana kwao.
Ila hawa Waafrika wanaleta viburi huku uchumi wenyewe huu unatandika balaa hata mkiwa wawili, sasa wao wakiwa bado wabichi dharau kibao, balaa ni wakishafika 30+ hapo ndipo wanaelewa kwann afrika ndoa ni muhimu kwa mwanamke kuliko elimu.
Ila ngoja watajifunza kwa vitendo kama kuwafundisha kwa maneno tumeshawaambia sana hadi tumechoka.
Yani ukisema hivi wanaume wanakuambia eti oo ngoja ukifika umri fulani bila ndoa au ukiwa single mother utatafuta mwanaume yeyote tu mradi anapumua, sijui wao wanaume wanawachukuliaje ila binafsi wanawake wa aina hiyo huwa nawachukulia kama walio desperate na wenye low self esteem tu mwanamke anayejitambua hawezi kukubali kuolewa na mwanaume yeyote ili mradi tu anapumua no matter the circumstances, wanaume nao wanatakiwa kujua kwamba siyo sifa wala raha mwanamke kufikia hatua hiyo bali inaonesha jinsi gani kwenye dunia ya leo wanawake wanawachukulia wanaume kwamba ni kimbilio pale tu wanapokuwa na matatizo na wameshachoka na si vinginevyoBora mtu usiolewe kuliko kukubali kuolewa na yeyote muhimu anapumua.
Kwenda kuishi ndoa ya mateso kwanini???
Wanaopapatikia kuolewa na yeyote umri ukienda wengi wao ni wale waliofail maisha!
Wanatafuta msaada ni wapi wataenda kuolewa ili wale chakula cha Bure!
Hili andiko lipo makini sana. Truth be told, wanaume hautupendi kukataliwa for sure. Tujifunze kukubaliana na hali if someone is not interested let them go. Matatizo ya ndoa mengi hanzia pale relationship inapokua mbich ukiona your partner is tolerating you, au it's like una invest nguvu nying kuliko yeye jua tayar ukuta una nyufa it's a matter of time ndoa itavunjika. Na hii concept ya ndoa is an outdated thing sio valid, tatizo sio ndoa tatizo ni wanandoa!Si unaona sasa na hapo ndipo tatizo lilipo hapo ambapo wanaume hamtaki kukubali kwamba mna makosa kwahiyo wewe suala la kutaka kula na kusepa kisa kakataa kuolewa na wewe unajiona uko sawa, huwa nashindwa kuelewa kwanini wanaume you never take no for an answer when it comes to approaching women sijui kwanini huwa mnahisi mna haki ya kukubaliwa tu na mwanamke yeyote yule mnayetongoza na mkikataliwa basi inakuwa ni uadui na visasi where do you get this sense of entitlement from, kama mtu amekataa kuolewa na wewe kuna ulazima gani wa kuzini naye si umuache uendelee kutafuta yule ambaye atakuwa tayari kuolewa na wewe kisha umuoe na kama mnaona hilo ni gumu hamuwezi sasa hizi lawama na matusi kwa wanawake vinatoka wapi wakati ninyi ndio mnafanya kila namna ili muwashawishi wanawake wasiowapenda kwa kutumia udhaifu wao to fall into your trap..pathetic!!