Hizi ndoa hizi, ndoa za zamani anniversary ya ukweli ni miaka 25 na miaka 50 kwanza wengine hata hawazisherehekei. sikuhizi ukigonga miaka 10 ya ndoa unatoa hadi sadaka ya shukrani kanisani na sherehe kabisa maana hata nyie wanandoa wenyewe hamjiamini kuwa mmewezawezaje kwa maana muziki wake sio mchezo aisee.
Sikuizi miaka mitano tu ya ndoa, mtu ana vidonda vya tumbo tayari, mtu ana presha, mtu ana ugonjwa wa kukosa usingizi, tatizo nini? Badala ya kuingia ili kutua mizigo watu wanaingia kujitwika mizigo. This is sad, but ukweli bado unabaki kwamba
"Ndoa inaweza kufurahiwa", " marriage can be enjoyed"