HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,639
nimesoma vitabu viwili vya ex- navy seals team six (DEVGRU) cha bwana Howard Wasdin na Mark Owen (alikua kwenye team iliyomuua osama bin laden infact yeye jamaa ndo alimuua na alikuepo kwenye mission ya kumuokoa captain philips pia)Hakuna Delta Force atakayetumwa kwenye mission inahusu undersea demolition wakamuacha Seal. Na pia kuna sehemu ambazo Delta wamebobea Seal hawaguswi
Mipaka ipo na ndio msingi mzima wa kuwa Spec Operator. Unabobea zaidi katika sehem zinazokuhusu, so inaundwa hivyo kwakua wanategemeana. Hakuna bora kuliko mwenzake ila wanakamilishana
Hata katika team moja kunakua na sniper mmoja,machine gunner mmoja,medic mmoja,k9 handler mmoja,radio guy na kiongozi kutaja kwa uchache. Na lengo ni kwamba ukifanye kitu hicho hicho mpaka unajua near perfect lakini sio kwamba wengine hawayawezi wanajua ila kuna specialization kubwa. Ndomaana ni gharama sana kutengeneza mmoja mpk kuwa tayari "kufanya majukumu" na akipungua pia kwa sababu yoyote ile no hasara sana kwakua inaharibu mizania.
Yes wanafanya mazoezi sana na marafiki zao. Mara ya mwisho niliwashuhudia kwenye mashindano yanaitwa SOFEX Qatar wakiwa na Jordans,SAS,Raiders Deltas nk
inawezapambwa namatawi ya miti mambo yakaenda sawa kabisa.Hizi sijui ni armoured personnel carrier. Mbona kama driver yuko exposed sana yani hata kirahisi kwa nje unamuona. Zinatakiwa ziwepo sights ndogo tu ili asishambuliwe kupitia hiki kioo ambacho naamini hakiwezi kuwa armoured. Sasa dereva akijeruhiwa waliobebwa nyuma si wanakwama wote.
Tena hizo side mirrors kwenye ulimwengu huu ndio ajabu. Inaakisi kuwa hizi gari hazina modern electronics kama optic systems. Zinaendeshwa kwa dereva kutazama nje kila kona uku akiwa hatarini kushambuliwa
Sidhani hata kama umenielewa nilichosemanimesoma vitabu viwili vya ex- navy seals team six (DEVGRU) cha bwana Howard Wasdin na Mark Owen (alikua kwenye team iliyomuua osama bin laden infact yeye jamaa ndo alimuua na alikuepo kwenye mission ya kumuokoa captain philips pia)
The most elite special forces kwa marekani ni delta na seal team six, Delta wao wako Army na Seals wako navy! Wote hao wako independent huwezi mkuta Navy seal kwenye mission za Delta au vice versa yaani wote hao wameiva kotekote, sio majini ardhini wala angani, hakuna mwenye weakness kokote yaani wote wapo sawa ,na kwenye mission hua wanagawana maeneo labda delta watakua wanaoparate kaskazini na seals kusini kamwe hawakutani, Kwanza navy seals na delta hawaivi pamoja kila mtu anajiona ni bora kuliko mwenzake
Wote ni makomando na wanajitosheleza ktk units zao, operator wa Delta yuko vizuri kokote ardhini,majini na angani, Navy seals nao ni hivyo hivo , sasa kwa hapa kwetu hakuna unit ambayo iko full???Maana uwanja wa vita hauchagua umespecialize wapi maana kama ni hivi maana yake makomandoo wetu wapo limited sana huyo wa majini ukimleta nchi kavu hana kitu, na huyu wa nchi kavu ukimpeleka majini hana kitu
delta na seals ni the most elite kwasababu wao ndio the most highly trained kuliko units zozote katika kamandi zaoSidhani hata kama umenielewa nilichosema
Halafu pili vitabu ulivyosoma ni vya jamaa anayependa kujidai na wala sio yeye anaepanga waende wapi. Ungekua umesoma manual za makamanda wake ungekua na elimu pana zaidi ya jinsi spec ops zinafanywa.
Halafu "the most elite" kwanini? Umetumia kiwango gani kutoa hiyo class kwa SFOD-D & Seals?
Again nikuulize pia unaelewa tofauti ya Seals(As a whole) na DEVGRU(Team Six)
Tena umelinganisha na mfumo wa marekani ndo uko complex zaidi. Kutokana na Command zao zilivyo kuna Ambao wako Naval Spec Op Command(Ni sehemu ya SOCOM) na kuna ambao wako chini ya SOCOM/JSOC moja kwa moja na mafunzo lazima yawe tofauti
Kama nilivyosema awali,mafunzo huwa tailor made kutokana na mahitaji ya hali halisi na jinsi wanavyoona makamanda na kila kundi linaweza kuwa limebobea katika vipengele kadhaa lakini haiwezekani kutengeneza "Jacks of all trade"
Endelea kusoma soma utaelewa kama bado sieleweki
Hukunielewa vizuri sikusema wanachanganywa unit mbili tofauti. Nilikua nakuelezea specialization ya unit na ya mtu ndani ya unitumesema kwamba kwa hawa wa hapa home hua wanachanganywa kwenye operation yaani maroon barrets na navy special forces wanatengeneza team ndo inaenda kwenye mission, kitu ambacho kwa delta au devgru hakipo, sasa swali ni kwamba hatuna unit ambayo inajitosheleza kotekote bila kuchanganya operators???
Sasa unalinganisha armoured vehicle ambayo inabeba VIP wa nchi na vifaa vya kijeshi. Hizo V8 zenye vioo vipana zinawithstand risasi za aina gani unajua? Ushawahi ona testing za hizo armoured V8, Mercedes Benz, GMC, Toyota wanatumia bunduki gani kutest. Wanatumia AK-47. Sasa mwanajeshi gani kichaa atatumia AK-47 kushambulia hili gari la kijeshi. Watatumia sniper riffle au machine gun, hizo vioo zitahimili? Wakiikutanisha hii APC vs APC au IFV hapo vioo vitabaki. PaleHivi mnajua upana wa kioo cha Humvee ile gar vita hasa ya mmarekan!!!
Ina Upana sawa na V8 lakin ni Bullet proof!!! Na hata Rpg ikipga vibaya dereva anakua majeruh tu!!!
Hizi pia bongo zipo mbona amshangai upana wake!!!!!???
Hukunielewa vizuri sikusema wanachanganywa unit mbili tofauti. Nilikua nakuelezea specialization ya unit na ya mtu ndani ya unit
Bado nitakuuliza unaposema wako highly trained ndo wanakua elite highly trained kwenye nini??? Ujue unaongelea unit ambazo zinadeal zaidi na counter terrorism ila kuna vipengele vingine ambavyo hawavigusi na hiyo ni kazi ya units zingine kama PJs,Rangers,Raiders ,Special Boat Teams nk. Na wao ni highly trained ktk maeneo yao
Hakuna Unit inayofanya kila kitu hakuna hakuna. Ila kutokana na migogoro ya sasa unawasikia zaidi hao na wanakua deployed(na unatangaziwa) zaidi hao. Mpaka wanaandika vitabu. Ila kuna kazi nyingine hawawezi kuzifanya na hawazifanyi na ni muhimu sana tu globally na nakwambia wapo waliobobea huko
Mbona mwamba ana ndevu?Undevu nini safi tuView attachment 1675655
Nimeona mwamba hadi ana innah kwenye ndevuNdio hao ni Commandos
Infantry Commandos ni sehemu ya jamii ya Special Forces ndani ya jeshi,wanajifunza kufanya mission wakiwa katoka vikundi vya wanajeshi wachache wachache(Labda 5-12) tofauti na wanajeshi wengine wanaokwenda kwa formation ya maybe kuanzia platoon(Hii inaitwa unconventional warfare), kazi nyingine ni kama counter terrorism, hostage rescue, FIBUA(Urban warfare), Sabotage na misheni kibao " behind enemy lines"
Kutokana na majukumu yao ndomaana wanafuga hadi ndevu( jeshini inaruhusiwa mustachi tu na nywele low cut) ila hawa hata uniform wanabadilishs badilisha pia( wanazo nyeusi pia walishazivaa sherehe ya Uhuru) pia ni wataalamu wa kuruka na maparashuti
Hawa kwao ni Ngerengere 92kJ( wazee wa 92)
Wana wenzao pia wako kigamboni Navy Spec Forces wenyewe wanebobea kwenye maji kwenda nchi kavu
Mkuu mbona unatuweka uchi?Ndio hao ni Commandos

FrogmenNavy Spec Forces= Navy SEALs
Delta Force=Maroon Barrets
Navy SEALs wapo vizuri kotekote yaani ardhini, angani na kwenye maji kama ilivyo Delta Force, hawa wa kwetu kwanini wanakua na mipaka yaani huyu amejikita zaidi ardhini na huyu majini? na je kuna makomando wetu hua wanapata nafasi ya kufanya mafunzo na Navy SEALs au DELTA FORCE??
Ni mimi hapa fanya kuja inbox yangu ππππNaombeni namba ya huyo bwana wa kwanza kulia mwenye ndevu nyeupe
SAS ni kiboko ππHakuna Delta Force atakayetumwa kwenye mission inahusu undersea demolition wakamuacha Seal. Na pia kuna sehemu ambazo Delta wamebobea Seal hawaguswi
Mipaka ipo na ndio msingi mzima wa kuwa Spec Operator. Unabobea zaidi katika sehem zinazokuhusu, so inaundwa hivyo kwakua wanategemeana. Hakuna bora kuliko mwenzake ila wanakamilishana
Hata katika team moja kunakua na sniper mmoja,machine gunner mmoja,medic mmoja,k9 handler mmoja,radio guy na kiongozi kutaja kwa uchache. Na lengo ni kwamba ukifanye kitu hicho hicho mpaka unajua near perfect lakini sio kwamba wengine hawayawezi wanajua ila kuna specialization kubwa. Ndomaana ni gharama sana kutengeneza mmoja mpk kuwa tayari "kufanya majukumu" na akipungua pia kwa sababu yoyote ile no hasara sana kwakua inaharibu mizania.
Yes wanafanya mazoezi sana na marafiki zao. Mara ya mwisho niliwashuhudia kwenye mashindano yanaitwa SOFEX Qatar wakiwa na Jordans,SAS,Raiders Deltas nk
Msijadili mambo nyeti ya ulinzi hapa!Kwa bahati nzuri unaonekana una uelewa nazo. Napinga APC kuwa na sight kubwa namna hiyo. Haiwezekani sight ya driver unaweza kumuona kichwa kizima, sasa hiyo kioo bulletproof si utanunua ghali sana maana vinauzwa kwa inches. Twambie kinawithstand viwango gani ukute hata adui akija na Dragunov anapenyeza risasi. Na kwanini kiwe na side mirror.
Hiyo point ya silaha kuwa na umri wa miaka 10 ni dhaifu mno. Silaha hazitengenezwi kutumika kwenye teknolojia ya miaka kumi tu hapo. US wana silaha kibao za miaka ya 1960s bado zinatumika, airframes za B-52 ni kongwe kuliko marubani wanaoziendesha. Silaha nyingi hutengenezwa kuishi miaka wastani wa 30, bado wanaweza upgrade.
Hapa useme kama tulinunua silaha za zamani kwa miaka hii.
Mimi sikubaliani na kuwa na masilaha mengi ya zamani. Una vifaru 90 outdated adui ana vifaru 20 modern hapo tunakuja kwenye kill ratio unakuta silaha imepiga competitor wake kwa 20:3
Hata hivo Tanzania silaha nyingi sio za muhimu sana. Kuwe na mafunzo, nidhamu, weredi na utayari. Kikitokea tunaagiza silaha ambazo tunajua kuzitumia tunapigana.
Unayadadavua sana utafikili tulinunua sisi.Haya ni msaada bro 92kvHizi sijui ni armoured personnel carrier. Mbona kama driver yuko exposed sana yani hata kirahisi kwa nje unamuona. Zinatakiwa ziwepo sights ndogo tu ili asishambuliwe kupitia hiki kioo ambacho naamini hakiwezi kuwa armoured. Sasa dereva akijeruhiwa waliobebwa nyuma si wanakwama wote.