Hehe! unafikiri wimbo ukiupebda wewe ndo na hao wa 2000 wataupenda..?
Soko la muziki sasahivi limebadirika hata hao wapya wakikaa kimya kidogo tu unawaona wameshuka!, inahitaji umakini mkubwa sana kukaa kwenye chat sio tu one hit basi!..
Mipango inatakiwa inasukwa, ujue soko linahitaji nini nawe ubadirike vipi, unatakiwa ufanye recruitment management yako kwa usahihi, producers wako na usiwe na producer mmoja kama nywele maana akipitwa na wakati imekula kwako!...
Vitu ni vingi mamii kurudi kwenye mfumo si jambo dogo!.