Bukondamoyo
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 458
- 490
Mi ni mkazi wa mji mdogo wa Magu mkoa wa Mwanza,, leo katika uwanja wa Sabasaba nmemsikia mchungaji wa kanisa la adventisti sabato,,, Marko 7,kuanzia mstari wa kumi na tano.. Usemao 'Marko:0.5
Basi wale Mafarisayo na waandishi wakamwuliza, Mbona wanafunzi wako hawaendi kwa kuyafuata mapokeo ya wazee, bali hula chakula kwa mikono najisi?
Marko:0.15
Hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi, bali vile vimtokavyo, ndivyo vimtiavyo unajisi yule mtu. '
Binafsi nmeona kama anaeleza tofauti na maandiko, anadai pale Mungu alimaanisha tu vile vyakula vilivyoruhusiwa na si vinginevyo... Vile kama kitimoto nk
Wadau naomba msaada wenu nipate kuelewa, ahsanteni sana