Marketing strategy E-fm vs Clouds fm

Marketing strategy E-fm vs Clouds fm

Naona unatangaza biashara yako mkuu itachukua mda sana hicho chombo cha clouds
 
Muda naenda kazini asubuhi ndio ninasikiliza redio. Sina muda mwingine zaidi ya morning kusikiliza redio.

So far, Clouds is my first choice for now.
Sasa Kama unasikiliza clouds pekee, how can you make comparison?

Jaribu kuskiliza Wapo radio asubuhi afu leta mrejesho.
 
Mkui kwani fikra zangu zimefungwa?

Tunasema ilikuwa wanachafuana maana walitaja majina ya watu mbele ya kamera za waandishi wa habari na kusema wanajihusisha na madawa ila hadi leo wapo mtaani maisha yanaendelea.
Kwahiyo hiyo mantiki yako hiyo biashara hakuna anaefanya mkuu ingawa madawa tunayaona yapo mitaani.
 
Wanachokifanya E-Fm sasaiv siyo kigeni! Unapitaka kujitanga lazima uwe na mbinu za kuwapata wasikilizaji!
Mziki wanaopiga efm pale sabasaba Clouds walishafanya sana miaka 2001-2010. Kama unakumbuka ugomvi wa East cost na Tmk ( akina nature na gwamaka) ulianzia sabasaba ambapo walipambanishwa kumtafuta mshindi, walioandaa ni hao clouds FM. Show haikuisha c'se ugomvi mkubwa ullitokea ktk show.
Pia hata radio one na ITV zilipoanzishwa ilikuwa hivyo. Kwahiyo kwa sisi tulioshuhudia uanzishwaji wa hizi media atashangai sana.
 
Back
Top Bottom