Marketing officer at ppf

Marketing officer at ppf

GRAPHICS DESIGN

Senior Member
Joined
May 28, 2014
Posts
103
Reaction score
39
Hi wana jf, samahani ijumaa nilipigiwa cm na radar recruitment leo saa 4 niende kufanya usaili kwa nafasi tajwa hapo juu, naomba kama kuna yeyote aliyeitwa na yeye tupeane update. JF PAMOJA KAMA FAMILIA MOJA.
 
mim hapo sijakuelewa vizur,radar recruitment wakikupigia simu wanakwambia kuwa hiyo nafasi ni ya PPF?! hebu nijuzeni wakubwa.
 
umepaniki au

Duu na Mimi niliomba hiyo nafasi ijumaa SAA 8:30asubuhi nilikuta missed call ya landline Ila nilivyojaribu kucall back ilionekana km huwezi kupiga ila wao wamaweza kukupigia.Nisaidie kupat hiyo no.iliokupigia ili niangalie labda ndo wenyewe.
 
mjini hapa utaliwa kichwa
 
Back
Top Bottom