Proffeshion gani ndo sio malaya?
Vipi unasemaje kuhusu wasio na profesion lakini malaya mbwa...?Nimekuwa nikipata Fununu kutoka Kwa madereva malori Nliyowahi kufanya nao mahojiano na walikiri kuwa kila walipoenda safari iliwalazimu kuchukua Wke kila Kituo walipopiga kambi
Marketers,sales na loan officers nao ni hatari sana,huwa kazi zao zinawapelekea kufanya umalaya kutokana na malipo madogo ya ujira wao,they vulnerable coz they mingle with a lot of people in their daily activities
Most of them hawajaoa na kuolewa na they are against marriage beliefs and it's institutions
Ma hr siku hizi wamekatwa kilimi limi, baada ya kuja hizi recruitment agencies!NA ma hr pia!
Proffeshion gani ndo sio malaya?
Magereza
teh magereza unamaanisha askari au wafungwa?ha ha ha
Proffeshion gani ndo sio malaya?
Proffeshion gani ndo sio malaya?
wale wanaopima watu ngoma Angaza...
Hahhaaaa! TUTAKE RADHI KIJANA! Sales na marketing wana ujira mdogo? Labda kamahufiki targets! Kuse kweli kama ni kuwa exposed unakuwa exposed! UMALAYA TABIA YA MTU TU! Ila kiwa a natural akapata na chance matokeo yake yanakuwa EPIC!