Mark X transmission problem

Mark X transmission problem

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
wakuu nazani bila shaka humu kunamafundi au watu wanao miliki magari aina ya mark x. mm binafsi nishakutana nayo kama magari 5 au 6 hivi na nishapata kesi zake zaidi ya 20. mark x inaugonjwa kwenye suala la gia ukiwa unaendesha then ukapunguza speed ikafika kuanzia 5km/h kwenda chini huwa unatokea mlio wa kugonga au unaweza ukasema kuwa ABS inafanya kazi..

Tatizo hili ni kuwa utafikilia gari inakuwa kwenye giaa ndogo na unapopiga brake huwa ina pangua faster mpaka kwenye gia kubwa.
tatizo hilo nikwenye upanguaji wa giaa na some times kama utachomoa switch ya brake naukaendesha gari ugonjwa huo huwa unakwisha kabisaa.

Tiba yake kibongobongo huwa nikubadilisha control nyingine naugonjwa huwa unaisha.

Kama RAV 4 kill time na gari zingine za familia ya Z huwa zinakuwa naugonjwa wa kukita giaa dawa yake ilikuwa nikubadili control now Hamna tena kubadili control zaidi ya kuzitengeneza kwa kubadili ic za gia tuu. why ishindikane kwa mark x ishu nikuwa hajatokea mtu ambaye yupo tayari gari yake ifanyiwe test.

Kama kunamdau hapa anagari inatatizo hilo plz ajitolee gari kinachofanyika inatolewa control inabadilishwa IC za gear kwa kubadili 1 mojaa nakuitest kwenye gari mpaka itakapo bainika ni IC IPI amabayo ndio huzingua. maana control zake ni laki 8 ,9 mpaka 1M.
 
Mi namiliki hii yangu hapa...haina shida ya kukita kita..wala gia hazikatai nakuapia vile...hakyanani
Capture.JPG
 
wakuu nazani bila shaka humu kunamafundi au watu wanao miliki magari aina ya mark x.
mm binafsi nishakutana nayo kama magari 5 au 6 hivi na nishapata kesi zake zaidi ya 20.
mark x inaugonjwa kwenye suala la gia ukiwa unaendesha then ukapunguza speed ikafika kuanzia 5km/h kwenda chini huwa unatokea mlio wa kugonga au unaweza ukasema kuwa ABS inafanya kazi..
tatizo hili ni kuwa utafikilia gari inakuwa kwenye giaa ndogo na unapopiga brake huwa ina pangua faster mpaka kwenye gia kubwa.
tatizo hilo nikwenye upanguaji wa giaa na some times kama utachomoa switch ya brake naukaendesha gari ugonjwa huo huwa unakwisha kabisaa.

tiba yak kibongobongo huwa nikubadilisha control nyingine naugonjwa huwa unaisha.

kama RAV 4 kill time na gari zingine za familia ya Z huwa zinakuwa naugonjwa wa kukita giaa dawa yake ilikuwa nikubadili control now Hamna tena kubadili control zaidi ya kuzitengeneza kwa kubadili ic za gia tuu.
why ishindikane kwa mark x ishu nikuwa hajatokea mtu ambaye yupo tayari gari yake ifanyiwe test.
kama kunamdau hapa anagari inatatizo hilo plz ajitolee gari kinachofanyika inatolewa control inabadilishwa IC za gear kwa kubadili 1 mojaa nakuitest kwenye gari mpaka itakapo bainika ni IC IPI amabayo ndio huzingua.
maana control zake ni laki 8 ,9 mpaka 1M.
hii ni habari njema sana mkuu lege, nina control box ya rav 4 engine 1AZ na yenyewe ina tatizo hilo hilo. Nafkiri kama umeweza kubadili ic kwenye control box na ecu ikafanya kazi vizuri basi kuna uwezekano wa kubadilisha kwa magari mengine. Nikipata mtu mwenye tatizo hilo kwa magari tofauti ntakutafuta ili tuone tunafanyaje..
 
hii ni habari njema sana mkuu lege, nina control box ya rav 4 engine 1AZ na yenyewe ina tatizo hilo hilo. Nafkiri kama umeweza kubadili ic kwenye control box na ecu ikafanya kazi vizuri basi kuna uwezekano wa kubadilisha kwa magari mengine. Nikipata mtu mwenye tatizo hilo kwa magari tofauti ntakutafuta ili tuone tunafanyaje..
mkuu hizo za rav 4 tulisha zisahau kwani nazo wakati zinatoka watuwalifanya sana biashara ya control box baada ya msoto kidogo watuwakazitafutia tiba maana ilifika lipindi gari zaidi ya 10 zinatafutiwa control box na control box dar hakuna kilichofuata nikuzitengeneza now fresh..

haina shida mkuu tutatafutana tuu
 
Wakubwa Habari ya asubuhi

Gari ya jamaa yangu ana gari RAV4 miss Tanzania, ambayo ni automatic transmission (sio manual), akipiga moto gari yake (hasa kwenye mlima) inastuck, inakuwa kama inagoma kupanda, hivyo anakuwa anakanyanga mafuta Kwa kuvizia vizia , akikanyaga mafuta sana (mlimani) gari inakuwa nzito, inagoma kwenda na hata kuzima, ikishazima akiwasha inaweza isiwake, mpaka ikae Kwa muda Ndio akiwasha inawaka na anaanza safari.

Aidha, gari likienda Mwendo mrefu, mfano 50km huanza kuonyesha taa za check engine, VSC na 4wd endapo ataendelea kuendesha gari litakosa nguvu/ litaanza kuonyesha kugoma kwenda - kama nilivyoeleza hapo juu, na wakati mwingine Ukiwa kwenye foleni ya muda mrefu gari huanza kuwasha taa zoote kwenye dashboard na hata kuzima, and kama halijazima ukikanyaga mafuta litaanza Mwendo Kwa shida Sana na kuchanganya taratibu

Au, iwapo litazima ikitaka kuwasha litashindwa kupiga starter, itabidi ukae kama nusu saa hivi na ukiwasha litawaka utaendelea na safari yako kwa umbali wa hata km 20 then Tatizo kusita kwenda speed linaanza tena.

Je Tatizo ni nini, ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom