uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,459
- Thread starter
- #21
you know?tell usReally?
you know?tell usReally?
Uongo12 mkuu
CC 2500 itembee kilomita 12 kwa lita moja?you know?tell us
ni ngap mkuu.?Uongo
cc 2490CC 2500 itembee kilomita 12 kwa lita moja?
I can't tell...
sio mbaya ukaeleza unavyojua.utakua umewasaidia wengiCC 2500 itembee kilomita 12 kwa lita moja?
I can't tell...
viwekee gris.chukua mkoko huovyuma vyuma vyumaaaaa
one day yes.utaupata,be positive alwaysMzigo nauelewaga Sana huo ila ndo hivyo tena mbao zimebana
Thanks mkuuone day yes.utaupata,be positive always
Acha upga wa maisha yaani cc2500 unaiogopa kama ukomakusukuma hiyo ndinga usawa huu ni hatari. Wesee baba
Umeona eeh. Hii mashine ukitaka u enjoy driving ipe trip ndefu. Mabasi ya mkoa unayakata kama yamepaki vile.Mzigo nauelewaga Sana huo ila ndo hivyo tena mbao zimebana
Ndio. Ila sio mjini kwenu Dar kwenye foleni ambako consumption inakua kubwa. Cc zisikutishe. Engine za saaa ni efficient sana.CC 2500 itembee kilomita 12 kwa lita moja?
I can't tell...
ndo niniLyuma linyonge!