Mark Mwandosya Live, Sumaye Kesho

Nasikia Star TV wamechelewa ndege kwenda kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Mhe Mwandosya
 
Kesho kutwa ni zamu yangu, jiandaeni wadanganyika...
 
Baada ya matangazo ya Bunge Star tv Prof. Mark Mwandosya atakuwa Live akitangaza nia ya kugombea U-rais

Kesho tarehe 2, Fredrick Sumaye na yeye atakuwa Live.

Hawa nao wanahangaika tu yaani wanatangaza kitu ambacho wanajua fika kuwa hawawezi kupitishwa. ningekuwa mimi ningetulia tu nile pensheni yangu.
 
Mbona amekimbia alijua matangazo yaenda hewani live nn
Tayari umejitoa kwenye mbio za kijiti
 
SUMAYE ALISAHAU NIN miaka10 zote alikuwa waziri mkuu? akafuge ng'ombe wake kibaha
 
Mwandosya atuombe radhi kwa kuuza TTCL kwa bei ya kuku kwa rushwa ya kusomeshewa mtoto wake Afrika ya Kusini.

Hajui kama tunakumbuka ; huyu naye background yake nusura ifanane na mwenzake ENL
 
Mwandosya pumzika tuu bwana, garama zilizotumika kukuuguza wewe ni kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…