Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
@ Mwandosya hana jipya.
Mgonjwa huyo nani ampe urais,hatutaki gharama za uchaguzi kama zambia
Sa ngp jenerali amba
Baada ya matangazo ya Bunge Star tv Prof. Mark Mwandosya atakuwa Live akitangaza nia ya kugombea U-rais
Kesho tarehe 2, Fredrick Sumaye na yeye atakuwa Live.
Mbona naona Taarifa ya habari tu hapa StarTV
Yoote magamba tu....!!! Lkn ukitafuta nafuu katika wagonjwa bora huyu kuliko Lowassa!!!
Mbona naona Taarifa ya habari tu hapa StarTV
hahahahahah....mwenzake wa Mwitongo ametangaza kimya kimya bila chombo chochote cha habari kwenda LIVE...
Mwandosya atuombe radhi kwa kuuza TTCL kwa bei ya kuku kwa rushwa ya kusomeshewa mtoto wake Afrika ya Kusini.