Gari inatembea na iko vema.
Ni 6 cylinder 1 G Kavu.
Kiukweli iko vizuri bodi lake, nimetoka kubadili rings, piston, berring, gasket, tyres, nozel. Kwakweli iko vema kwa safari yoyote nchini.
VIBALI VYOTE HADI JUNE 2014.
Wasiliana nami 0754734009
Mkuu weka basi hata Details nyingine km
Make ya mwaka gani?
Reg, No .............
Kilometer ,,,,,,,,,,,,,
Model ,,,,,,,,,,,,,
na angalau upo Mji gani
maana unaweza jua gari ilihimili mikikimikiki gani rough road au Tarmac
ni ushauri tu maana GX zinaanzia 3.0m km ni zaidi ya miaka 10 nyuma
usisahau kuwasiliana na Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info
km ukiona tunasepa