Mario, wimbo "Tikisa" umetafsiri wimbo wa "Congratulation" wa Don Nalimison. Tafadhali buni vya kwako

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
ANGALIZO kwa Msanii MARIO.

MARIO: acha kutafsiri nyimbo zangu DON NALIMISON kwa Kiswahili, bunii vya kwako. Tikisa ume copy na ku paste wimbo wangu wa Congratulation ulioko You Tube tangu julai 2020. Ningeweza kukuweka DETENTION lakini Mimi simuuaji, naomba acha hiyo tabia buni vya Kwako bwana mdogo.

 
Mkuu Don nimeingia huku kukujulia hali tu.

Nilikukumbuka leo katika mbanga zangu za hapa na pale, nikasema ntapita hapa kukujulia hali.

Hujambo bwana?
 
Bana kuna dada ana viuno humo hatari.

Don fanya naye kazi sana huyo tunamuhitaji
 
Back
Top Bottom