Kilichofanya bei za mafuta zipande ni Israel-U.S kuivamia Iran,kama wewe ni mkristo wa kweli huwezi lalamika bei zipande,
Hata biblia ilisema aliye pamoja na Israel atabarikiwa,hata Israel ikiruhusu ushoga,genocide,war,conflicts,land thieves,.....ikitokea ukasupport tu UNABARIKIWA
Mtupe nchi ili tuachane na wavaa suti ombaomba ,kila kitu tunanunua mpaka madawa ...Yaani mpaka Rais wetu anatakiwa asome elimu za wazungu ili awe kibaraka.wasomi wa tanga mnatusaidiaje hapa kwenye hili mkuu?
Acha uongo hawa ni wafadhili wenu nyi CHADEMA ,machawa tena wasaliti wa waafrika...Huku USA maisha yamepanda na gesi iko juu pia..Bei ya mafuta imeshuka leo Jumatano, kwa zaidi ya 3% hadi zaidi ya dola 100 kwa pipa.
Hii inafuatia matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump katika Ofisi ya Oval jana usiku kwamba nchi hiyo itaondoka Iran "hivi karibuni" na hatua za kijeshi zinaweza kumalizika katika wiki mbili au tatu.
Hata hivyo, bei za mafuta ghafi ya Brent zinabaki kuwa juu kwa 39% ikilinganishwa na tarehe 28 Februari, wakati vita vilianza na Iran ilipofunga Mlango-Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usambazaji wa mafuta na gesi duniani.View attachment 3565572
🤣 wabara tunajiita "watanganyika" kwa sasa.Mtupe nchi ili tuachane na wavaa suti ombaomba ,kila kitu tunanunua mpaka madawa ...Yaani mpaka Rais wetu anatakiwa asome elimu za wazungu ili awe kibaraka.
Tumeaachia nchi ili muendeleze vibaraka ,tulishaitoa kwa wakoloni kazi kwenu wabara .
Wahuni wanatushona kwa baraka za serikaliWametupiga vibaya sana na hatuna la kufanya. Haya mafuta ya sasa ni akiba ya zamani hayakupaswa kupandishwa bei
Umezingatia hali ya uchumi katika nchi hizo? Au kipato cha raia mmoja mmoja?
sidhan kama umenielewa? Mtu akiwa kwenye ndinga anajikuta mtu flan hv na yule wa daladala anaonekana wa hali ya chini,sasa wote tukipanda daladala hatuta dharauliana,hope umenipata now!Mkuu kupanda daladala ni heshima?
unachaji mkuuKwani unalipia kama luku au unachaji?
Sasa nikashangaa zinatajwa unit za umeme,navyojua inachajiwaunachaji mkuu
Na hata kama mafuta yatashuka vitu haviwezi kushuka bei tenajana jioni nimepandaa boda nauli ni 1000 ila leo asubuhi naambiwa 1500 na umbali ni sawa na ule wa jana jioni,,, nikajisemea acha tu nitembee nifanye mazoezi maana nitafika tu,,, sikua na budget ya nauli buku jero shida inakuja kwenye jua yaaani linachoma mpaka basi
boss wangu katoka kuniambia na mchele ushapanda bei, sijui kweli au lah,,,Na hata kama mafuta yatashuka vitu haviwezi kushuka bei tena