Kwani wao wanajali,Wametupiga vibaya sana na hatuna la kufanya. Haya mafuta ya sasa ni akiba ya zamani hayakupaswa kupandishwa bei
Bei ya mafuta ya petroli imepanda kwa kiwango kikubwa katika Jiji la Dar es Salaam, ambapo sasa lita moja inauzwa kwa shilingi 3,820 mwezi Aprili 2026, kutoka shilingi 2,864 mwezi Machi. Ongezeko hilo limetangazwa rasmi na Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) katika taarifa yake ya marekebisho ya bei za mafuta.Yatafika yu elfu 5 we subiri
bei inapanda haraka kwa sababu inaangaliwa gharama za kureplace stock iliyopo, na kwenye kushuka bei inashuka taratibu kwa kuangalia mzigo uliopo ulionunuliwa kwa bei kubwa.Wametupiga vibaya sana na hatuna la kufanya. Haya mafuta ya sasa ni akiba ya zamani hayakupaswa kupandishwa bei
Serikali yetu ya kishetani...Bei ya mafuta ya petroli imepanda kwa kiwango kikubwa katika Jiji la Dar es Salaam, ambapo sasa lita moja inauzwa kwa shilingi 3,820 mwezi Aprili 2026, kutoka shilingi 2,864 mwezi Machi. Ongezeko hilo limetangazwa rasmi na Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) katika taarifa yake ya marekebisho ya bei za mafuta.
Kwa mujibu wa EWURA, kupanda kwa bei kunachangiwa na mabadiliko katika soko la kimataifa, ikiwemo ongezeko la bei ya mafuta ghafi pamoja na changamoto za usafirishaji. Aidha, hali ya kisiasa na kiusalama duniani imeendelea kuathiri upatikanaji na usambazaji wa mafuta, jambo linalosababisha gharama kupanda katika masoko mbalimbali.
Mamlaka hiyo imeeleza kuwa gharama za uagizaji zimeongezeka kutokana na kupanda kwa bei za bima ya meli, ucheleweshaji wa mizigo na gharama za usafirishaji kwa ujumla. Bei hizo mpya zimeanza kutumika rasmi kuanzia Aprili Mosi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Dar es Salaam, Tanga na Mtwara.
Kutokana na hali hiyo, wananchi wametakiwa kutumia nishati kwa uangalifu na kuzingatia njia mbadala za kupunguza matumizi. EWURA imesisitiza kuwa itaendelea kufuatilia mwenendo wa soko la dunia na kuchukua hatua stahiki kulinda maslahi ya watumiaji wa ndani.
MAFUTA YAKIPANDA KILA KITU KITAPANDA BEI MARA DUFU.
Ngoja tuheshimiane kidogo,wenye ndinga na wasio na ndinga wote kwenye daladalaEwura wameshatoa bei elekezi, hiu vita ikiiendelea mpaka May, wese itapanda kufikia 5K au zaidi
Kwani unalipia kama luku au unachaji?Pikipik/gari za umeme litakua kimbilio endapo bei itaenda zaidi.
Pikipik za umeme, umeme wa buku unakimbia km135
Mkuu kupanda daladala ni heshima?Ngoja tuheshimiane kidogo,wenye ndinga na wasio na ndinga wote kwenye daladala
Majambazi yametumia huo mwanya kuiba aisee na hawaogopi kwa sababu wapanga bei sasa hivi ni hao wafanyabiashara ya mafuta wanatoa maelekezo tu wiki yote hii huko Mbeya walikua hawauzi mafuta waliambiwa yatapanda bei kubwa sana.Wametupiga vibaya sana na hatuna la kufanya. Haya mafuta ya sasa ni akiba ya zamani hayakupaswa kupandishwa bei
wasomi wa tanga mnatusaidiaje hapa kwenye hili mkuu?Waafrika ni wajinga 🤣 mmekuwa tegemezi kuanzia kijamii ,kisiasa ,kitamaduni mpaka kiuchumi...Hao wanaojifanya wamesoma wameingizwa mkenge wa kuwa ombaomba wa wazungu..
Kila kona wanaongelea mafuta ,ni tatizo la kujifanya watu wanajua sana.