Nilidhan huo wimbo aliimbiwa Dianna Rose alivyo fariki....Kuna movie flani alicheza Hollywood akajiita Nomarn jean...hii ilimfanya Elton John akiwa Mdogo ampende sana Marilyn Monroe na kutamani hata kumuona ila akafariki na Elton John hakutimiza ndoto yake ya kumuona kiumbe aliyempenda kuliko wote chini ya jua.
Hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuandika wimbo wa "candle in the wind" baada ya marilyn kufariki dunia kama dedication kwa Marilyn Monroe msichana aliependezwa nae kuliko wote chini ya jua. Ndio maana kwenye first verse ya nyimbo ya candle in the light inaanza na maneno haya " goodbye Norman Jean .......sijui nini...
Thanks marliyn umetuletea songi murua.
Haimuhusu Diana rose..Diana ngoma yake ilikuwa dirty Diana iliyoimbwa na Michael Jackson ikumbukwe wacko alimpenda sana Diana na alikuwa na mahusiano nae lakini baada ya kumcheat Michael ndo akamvurumushia dirty Diana.Mm
Nilidhan huo wimbo aliimbiwa Dianna Rose alivyo fariki....
Candle in the wind ilikuja kurudiwa kwa heshima ya the late Princess Diana.Kuna movie flani alicheza Hollywood akajiita Nomarn jean...hii ilimfanya Elton John akiwa Mdogo ampende sana Marilyn Monroe na kutamani hata kumuona ila akafariki na Elton John hakutimiza ndoto yake ya kumuona kiumbe aliyempenda kuliko wote chini ya jua.
Hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuandika wimbo wa "candle in the wind" baada ya marilyn kufariki dunia kama dedication kwa Marilyn Monroe msichana aliependezwa nae kuliko wote chini ya jua. Ndio maana kwenye first verse ya nyimbo ya candle in the light inaanza na maneno haya " goodbye Norman Jean .......sijui nini...
Thanks marliyn umetuletea songi murua.
Na punde tu baada ya kuirudia kwenye mazishi Queen Elizabeth...Birmingham palace ikampa cheo cha "Sir" Elton john.Candle in the wind ilikuja kurudiwa kwa heshima ya the late Princess Diana.
Ila ujue yakuwa, Bwana Yesu Kristo alikuwepo tokea hata cleopatra hajaumbwa.Cleopatra alikuwa mtawala wa misri miaka mingi sana nyuma kabla hata Yesu Kristo hajazaliwa.
Rebecca ni mzuri hatari aiseeAnafanana na Rebeca wa kwenye series ya BANSHEE
Sasa Elton ule ushoga ameutoa wapi asee?..Au limeamua kujilipua tu lile lizee.....Kuna movie flani alicheza Hollywood akajiita Nomarn jean...hii ilimfanya Elton John akiwa Mdogo ampende sana Marilyn Monroe na kutamani hata kumuona ila akafariki na Elton John hakutimiza ndoto yake ya kumuona kiumbe aliyempenda kuliko wote chini ya jua.