Huyu ndie mrembo asilia sio Hawa wa sasa makeup zinawabadilisha. kutana nao SAA 12 Asubuhi utadhani Jana ulilala na jini linalojibadilisha kama kinyonga. Yaani usiku mwanamke asubuhi mwanaume[emoji15] [emoji15]
RFK ndio alimuua?Pamoja na mdogo wake! RFK
urembo wa kununua dukaniHao wako huko kwenu mkuu!
Kwetu warembo wapo
Siyo kweli nimesoma stori zake hata picha akiwa kafa kitandani nimeziona tena pembeni kuna simu na mambo mengine yenye utatamadawa yamemuua huyu....hana tofauti na miley cyrus wa sasa hvi
urembo wa kununua dukani
Huyu alifuatwa na Bill Graham na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simhitaji Yesu wako, unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.Siyo kweli nimesoma stori zake hata picha akiwa kafa kitandani nimeziona tena pembeni kuna simu na mambo mengine yenye utata
Kusema overdose ni kuua soo tu
Hata magazeti yaliandika ni OVERDOSE lakini kuna mengi yanasemwa kumbuka alitembea pamoja na JFK na mdogo wake (RFK) na inadaiwa muda mrefu walipanga kumnyamazishaHuyu alifuatwa na Bill Graham na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simhitaji Yesu wako, unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.
utapata story kibao kama hizi ila drugs ndo zilimuua
Cleopatra alikuwa mtawala wa misri miaka mingi sana nyuma kabla hata Yesu Kristo hajazaliwa.Ndiyo CLEOPATRA huyu??
yap ila yote yanawezekana.... c.i.a (kkk) khu klux klunHata magazeti yaliandika ni OVERDOSE lakini kuna mengi yanasemwa kumbuka alitembea pamoja na JFK na mdogo wake (RFK) na inadaiwa muda mrefu walipanga kumnyamazisha
Kuna picha inaonyesha jinsi mazingira aliyokutwa akiwa kafa lakini siwezi weka sababu ya maadili
Genetically speaking.Huyu alikuwa jirani yetu
Pia alikuwa ni Teja na zaidi alikuwa ana date na AG wa U.S.AKuna movie flani alicheza Hollywood akajiita Nomarn jean...hii ilimfanya Elton John akiwa Mdogo ampende sana Marilyn Monroe na kutamani hata kumuona ila akafariki na Elton John hakutimiza ndoto yake ya kumuona kiumbe aliyempenda kuliko wote chini ya jua.
Hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuandika wimbo wa "candle in the wind" baada ya marilyn kufariki dunia kama dedication kwa Marilyn Monroe msichana aliependezwa nae kuliko wote chini ya jua. Ndio maana kwenye first verse ya nyimbo ya candle in the light inaanza na maneno haya " goodbye Norman Jean .......sijui nini...
Thanks marliyn umetuletea songi murua.
Kutokana na mahusiano yake kuwa na challenges nyingi alipata killer depression and stress. Mwishowe akaangukia kwenye uteja ili apate ahueni kumbe ndo anajiua taratibu hivyo.Pia alikuwa ni Teja na zaidi alikuwa ana date na AG wa U.S.A