kutoa mimba adhabu yake ni kifungo kisichozidi miaka saba mkuu si 30ungewawekea mtego halafu unawakamatisha wafungwe miaka 30 hawa ni wauwaji hakuna tofauti na wabakaji, sijui nchi hii kama wanasheria kali kuhusu utoaji mimba.
kutoa mimba adhabu yake ni kifungo kisichozidi miaka saba mkuu si 30
Angemwambia lala nikupime tumbo ndio ungejuwa ni wahuni au sio wanakudunga sindano ukilala wanakugegenda
Hii hospitali wanatumia pia kadi za bima vibaya. Ukienda pale utapimwa vipimo ambavyo si lazima na kupewa dawa kali iwe ya antibiotics au malaria hata kama kuna dozi ndogo ambayo ingeweza kutibu ugongwa. Wenye bima zao pale wawe makini. Watu wanachoshwa na dawa na bima kulipa gharama kubwa bila sababu.
Salam wanaJF,
Kuna hii hospitali ya Maria Stopes maeneo ya Mwenge kama ni mwanamke ukifika una matatizo ya tumbo unaambiwa kapime mkojo then majibu mimba hata kama haipo.
Nilimpeleka mdogo wangu wa kike kufika kaambiwa ana mimba na daktari akamuambia mdogo wangu kama yupo tayari tumpe kazi.
Hakika nilishtuka tukaamua kwenda AAR victoria wakakuta hana mimba sikuridhika tukaenda Agha khan akawa hana mimba, mmh ninajiuliza hapa hivi MARIE STOPES kimekuwa kijwe cha madaktari wahuni?
Maria stopers zote janga la taifa. Bila shaka kuchomoa vizygote ni moja ya vipaumbele vyao.
Siyo hapo tu wanapo misuse fomu za bima viko vituo vingi wanacheza dili na watu wa Bima ili wapate pesa nyingi halafu kama 30% wanakula watu wa Bima wanaoidhinisha cheki itoke.Kwa hiyo hili hata uliseme unalia machozi ya damu hakuna atakayelifanyia kazi maana mipesa miingi sana inakusanywa kwa mwezi na nilisikia waziri wa Afya analalamika eti kwa nini hawazitumii zote!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Abeeee,,,'?!!yani serekali itoe kibali cha kuua?sidhani!Ni hospital iliyopewa ruhusa na serekali kutoa mimba lakini kama watakuwa wanatoa kiholela itabudi serekali kulifuatilia na kufanya uchunguzi