SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,813 Jan 19, 2025 #1 Maridhiano ndio turufu ya Dr Mbowe kuchaguliwa tena na tena hadi mwisho wa uhai wake
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,249 Reaction score 93,771 Jan 19, 2025 #2 Hamna kitu
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,659 Reaction score 55,920 Jan 19, 2025 #3 blessings said: Maridhiano ndio turufu ya Dr Mbowe kuchaguliwa tena na tena hadi mwisho wa uhai wake Click to expand... Hiyo sio turufu ndio imemuangusha, maridhian ambayo mwenyekiti tu ndio anafaidika nayo lakini chama akifaidiki? Safari hii amekuwa exposed
blessings said: Maridhiano ndio turufu ya Dr Mbowe kuchaguliwa tena na tena hadi mwisho wa uhai wake Click to expand... Hiyo sio turufu ndio imemuangusha, maridhian ambayo mwenyekiti tu ndio anafaidika nayo lakini chama akifaidiki? Safari hii amekuwa exposed
S stonecutter JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,414 Reaction score 3,565 Jan 19, 2025 #4 Kwani ccm walimkosea nini ndo waridhiane? Mbona kwenye chaguzi bado ccm wanawaengua wagombea wa cdm je nayo ni sehemu ya maridhiano?
Kwani ccm walimkosea nini ndo waridhiane? Mbona kwenye chaguzi bado ccm wanawaengua wagombea wa cdm je nayo ni sehemu ya maridhiano?
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,813 Jan 19, 2025 Thread starter #5 stonecutter said: Kwani ccm walimkosea nini ndo waridhiane? Mbona kwenye chaguzi bado ccm wanawaengua wagombea wa cdm je nayo ni sehemu ya maridhiano? Click to expand... Maridhiano endelevu
stonecutter said: Kwani ccm walimkosea nini ndo waridhiane? Mbona kwenye chaguzi bado ccm wanawaengua wagombea wa cdm je nayo ni sehemu ya maridhiano? Click to expand... Maridhiano endelevu