Maridhiano ndio njia pekee ya kumaliza mgogoro wa visiwani

Seif Kazige Mbambizi

Senior Member
May 7, 2016
135
92
Ni ushauri tu kwa wadau wa msingi katika mgogoro wa visiwani kwamba maridhiano ndio njia pekee ya kuondoa wingu lililotanda katika visiwa vinavyounda Zanzibar. Hukuna njia nyingine ya mkato tofauti na hiyo.
 
Mkuu mada yako iko too general. Ila kama unazungumzia matokeo ya uchaguzi, ni sawa na kusema....."Maridhiano ndio njia pekee ya kuondokana na ufisadi" au "Maridhiano ndio njia pekee yakuondokana na magereza nchini"
 
Ni ushauri tu kwa wadau wa msingi katika mgogoro wa visiwani kwamba maridhiano ndio njia pekee ya kuondoa wingu lililotanda katika visiwa vinavyounda Zanzibar. Hukuna njia nyingine ya mkato tofauti na hiyo.
maridhiano ndio nini? Asiye na haki alipaswa heshimu ushindi wa wengine.

Otherwise hakuna haja ya uchaguzi usiotupatia mshindi kwa kanuni zake.
 
Maridhiano ya nini wakati cuf walisusa kwa mbwembwe na mabarua waliandika,au wanataka kufuta barua za kususia uchaguzi?
 
Hatuwezi kuwa na aina hii hii ya kupata suluhu.
kila baada ya uchaguzi tunarudi kwenye maridhiano?!
1. Tuwe na uchaguzi huru na wa haki inatosha.
2. Tume huru ya uchaguzi
3.
 
Back
Top Bottom