edimkali JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 212 Reaction score 139 Sep 25, 2019 #1 Wakuu msaada jamani ,kati ya Marian na saint Joseph, wapi kutamu jamani? Chuo gani kina changamoto mbaya?
Wakuu msaada jamani ,kati ya Marian na saint Joseph, wapi kutamu jamani? Chuo gani kina changamoto mbaya?
Puna JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 2,793 Reaction score 4,936 Sep 25, 2019 #2 Course gani?ili tukupe ushauri.
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,962 Reaction score 2,385 Sep 25, 2019 #3 Utamu upi unaongelea ?
K Kosugi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 19,212 Reaction score 31,375 Sep 25, 2019 #4 edimkali said: Wakuu msaada jamani ,kati ya Marian na saint Joseph, wapi kutamu jamani? Chuo gani kina changamoto mbaya? Click to expand... Saint joseph km unaenda kusomea masuala ya afya kile chuo kitamu tena sanna sanina.
edimkali said: Wakuu msaada jamani ,kati ya Marian na saint Joseph, wapi kutamu jamani? Chuo gani kina changamoto mbaya? Click to expand... Saint joseph km unaenda kusomea masuala ya afya kile chuo kitamu tena sanna sanina.
edimkali JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 212 Reaction score 139 Sep 26, 2019 Thread starter #5 Naenda kusomea bacherol of science mathematics with statistics
edimkali JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 212 Reaction score 139 Sep 26, 2019 Thread starter #6 Wapi kuna mazingira mazuri? Wapi elimu yake ni nzuri? Wapi naweza ishi bila kuteseka sababu sina mkopo
Wapi kuna mazingira mazuri? Wapi elimu yake ni nzuri? Wapi naweza ishi bila kuteseka sababu sina mkopo
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,723 Reaction score 11,336 Sep 26, 2019 #7 edimkali said: Wapi kuna mazingira mazuri? Wapi elimu yake ni nzuri? Wapi naweza ishi bila kuteseka sababu sina mkopo Click to expand... Mbona hivyo vyuo vyote viwili kama huna mkopo Na hujiwezi naona kama vyote utateseka
edimkali said: Wapi kuna mazingira mazuri? Wapi elimu yake ni nzuri? Wapi naweza ishi bila kuteseka sababu sina mkopo Click to expand... Mbona hivyo vyuo vyote viwili kama huna mkopo Na hujiwezi naona kama vyote utateseka
Megabits JF-Expert Member Joined Nov 21, 2015 Posts 532 Reaction score 587 Sep 27, 2019 #8 edimkali said: Wapi kuna mazingira mazuri? Wapi elimu yake ni nzuri? Wapi naweza ishi bila kuteseka sababu sina mkopo Click to expand... Bora uende marian kwa categories ulizotaja maana maisha ya bagamoyo kidogo yana uafadhari ukilinganisha na dsm ila sijajua marian ipi unayozungumzia..
edimkali said: Wapi kuna mazingira mazuri? Wapi elimu yake ni nzuri? Wapi naweza ishi bila kuteseka sababu sina mkopo Click to expand... Bora uende marian kwa categories ulizotaja maana maisha ya bagamoyo kidogo yana uafadhari ukilinganisha na dsm ila sijajua marian ipi unayozungumzia..