Maria u an't my mammy let me go on!

Maria u an't my mammy let me go on!

Wapendwa wana jf polen na mizunguko ya weekend

leo nimeamua kufanya maamuz ya kiume kwan siwez kupenda ncpo pendwa licha ya kuwa tumetoka nae mbali since 2004 nkiwa form two.

huyu msichana anaitwa maria tulipndana sana alot of promises we used to make during the time of our love tangu nkiwa secondar,high schoo bt the problem come nlipoenda chuo.
eti maria hanpendi tena coz she found sameone to make her wth alot of money.

Kutoka moyoni nlimpenda sana kulko maelezo nlijtahdi kumbembeleza arudi kwangu kwan Maisha yamebdlika sio kama zaman akija gheto after match nampa 1000/=
Basi na mim nkamua kujikaza kiume na kumuambia nevr mind i wil find someone like you then nkamuwish all the best to her new relationship

maria nakupromise i wont ever disturb u anymor coz an't my mammy
Its real life should go on even without him or her.

Pole sana huyo binti achana naye,she was after money.
 
but the problem come Kiinglish hiki................

Nimpongeze Maria kwa uamuzi wake 2004 sa hivi 2014

dah ila amemgaragaza maria sana,miaka 10 yote hyo ulikua unakula papuch ya mtoto wa watu kwa cheapest rewards! Afu still analalamika? Kwel dunia haina huruma, maria uamuz mzuri! #okbye
 
2004-2014,,,, maria kachukua uamuzi ulio bora maana kama ni mtt hapo atakua stndrd2.
 
aisee nimependa avatar yako imekaa kitabe. nahisi itakuwa na maana kubwa sana. hivi huo mstari wa mwisho inamaana mleta mada hajui jinsia ya ex wake.

Hapana chezea kilio cha mapenzi, hajui which is which.

As for my avatar its all thanks to you. Singeweka leo wala kesho.

[video=youtube_share;1TO48Cnl66w]http://youtu.be/1TO48Cnl66w[/video]
 
dah ila amemgaragaza maria sana,miaka 10 yote hyo ulikua unakula papuch ya mtoto wa watu kwa cheapest rewards! Afu still analalamika? Kwel dunia haina huruma, maria uamuz mzuri! #okbye

hahahaa Miak 10 wangekua na mtoto angekua karibu anamaliza na primary
 
wait for depreciation time...

she will come back and kneel down like PNC to ostaz juma na musoma! lol!

maamuzi mazuri lakini..
 
wait for depreciation time...

she will come back and kneel down like PNC to ostaz juma na musoma! lol!

maamuzi mazuri lakini..

Don take sides,

Hapa kila mmoja alitumika kwa mwenziye
 
10 years unagegeda kwa kumpa1000 daaaa..how dare u are kumchosha maria.

Mwache akapate mapenzi kwa mwanaume anayejuA kulea
 
Back
Top Bottom