Kaka mimi nakuelewa kwa nini huwaelewi wenzako wa upande wa pili. Ukweli ni kwamba sio rahisi kuwaelewa unless you change your paradigm...the way you see things. in short kuna miwani umevaa.
Jamaa akina Kitila & Zitto wana uwezo wa kuona mbali unless na wewe uwe na huo uwezo huwezi ona hata kidogo.
So mimi nakubaliana na muono
wako!
Remember: Kitila ndio president wa DARUSO wa kwanza ambaye kipindi
chake ali-achieve a lot bila UDSM kufungwa. This tells uwezo wa ku-convince anao bila kupeleka watu
barabarani.
you will never by any means kumshawishi au kumshauri Ben saa 8 abadili muono wake. ameachagua njia hiyo ambayo vilaza wengi huw wanakimbilia, he dont have freemind, he is inclined to Mbowe and slaa, he is jobless by anymeans anatafuta any thing kumpatia maisha.
alisoma kozi zile huko malyasia ambazo akifika Tanzania you will never employ him, ana frustrations nyingi, sasa kama anataka kumpa sumu zitto ulitegemea nini
asante kwa kumuelewa
simply anaaibisha vijana wengi