Margaret Thatcher funeral: a "fitting tribute?"

8658130868_818cdc9379_b.jpg

Mkuu EMT naomba darasa kidogo... Hadi watu wake wamchukie kiasi hiki aliwatenda nini?????
 
Last edited by a moderator:
No matter how hard you spin this one sweetheart, you were caught with your pants down

Peace :yo:

I am not your sweetheart (don't you have one?) and no one has caught me with my pants down.

Just don't try to force your perceptions and interpretations as being what was said or written.
 
EMT Ukisoma wanachoeleza kuhusu UK before Thatcher na after her
ni kama vile UK was a socialist state before? was it?

Kipindi cha Thatcher ndiyo kulikuwa na privatization kubwa.

Aliingia madarakani katika kipindi ambacho kinaitwa the "Winter of Discontent": Winter of Discontent - Wikipedia, the free encyclopedia

Utawala wake ulilienga zaidi kwenye free market and privatisation of state owned companies.

Ndicho kipindi ambacho makampuni makubwa kama British Airways, British Telecommunication yalikuwa privatised.

Kitu kikubwa ambacho Waingereza wengi hawampendi ni juhudi zake za kupunguza power na influence of trade unions.

Kuna sehemu nimesoma Nyani Ngabu anahoji kama walikuwa wanamchukia kwa nini waliendelea kumchagua mara tatu?

Alipoingia madarakani alikuwa very popular miaka mitano ya mwanzo.

Lakini umaarifu wake ulipungua kutokana na recession and unemployment.

Kama siyo vita vya Falkland mwaka 1982, asingechaguliwa tena kuwa prime minister mwaka 1983

Alichaguliwa tena mwaka 1987 lakini her poll tax made her very unpopular. Mwisho aliamua kujiuzulu mwaka 1990

One of the most damning charges laid against Thatcher was that she left millions of former manual workers on the scrapheap. One town's residents with perhaps a stronger claim to this than any other is Knowsley.

In Knowsley, Merseyside, North England, one resident says of Thatcher: "She destroyed Knowsley, she destroyed Merseyside, and we'll never forgive her for that"

The year after she was forced to resign, more than one in five adults here were out of the workforce, either through unemployment or long-term sickness.

Kama haya mazishi yangefanywa kaskazini ya UK asingehudhuria mtu. Procession ingerushiwa mawe. They hated her so much there.
 
Hivi hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya ku resign au kabla hajaingia madarakani?
aliwahi sema aliiacha UK better kiuchumi kuliko alivyoikuta...was it?
 
Kabla ya kuingia madarakani hali ilikuwa mbaya sana. These photos say it all.

110915nipstrikes1--131609273475704000.jpg

110915nipstrikes2--131609276494660000.jpg

Rubbish piles high in London's Leicester Square as binmen strike. The worst of the stoppages were over by February 1979, but Callaghan's Labour government never recovered. In May 1979 Margaret Thatcher was voted into Number 10, ushering in 18 years of Conservative rule.

Whether she made Britain a better place again, there is a divided opinion. Wapo wanaosema she did, wapo wanaosema hapana. Yeye mwenyewe alivyoulizwa ameleta mabadiliko gani mazuri alijibu "Everything".

Lakini aliibadilisha Uingereza ku-rely too much much on manufacturing industries kwa kulenga zaidi kwenye services and information technology. Her "soul mate" was Ronald Regan ambaye wakati huo alikuwa the greatest American President since Franklin Roosevelt?
 
Makonservative wangapi toka Marekani wamehudhuria mazishi?

Jana wakati nasikiliza conservative radio ya mjini hapa walisema kuwa wamempeleka Michele Bachmann na Marsha Blackburn pia walilalamika kwanini Obama aliwapeleka former secretary of state wakati kwenye msiba wa Reagan wao (waingereza) walimleta Thatcha na Prime minister. Nancy Reagan aliletewa mwaliko lakini alisema hataweza kuhudhuria kwasababu ya uzee.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkuu EMT naomba darasa kidogo... Hadi watu wake wamchukie kiasi hiki aliwatenda nini?????

Hata baadhi ya Watanzania sidhani kama walimpenda sana baada ya kusema vinchi kama Tanzania na viongozi wao kama Nyerere inabidi viangaliwe kwa makini (socialism).

Pia Afrika Kusini wapo ambao hawampendi baada ya kmwita Mandela na ANC kama magaidi wakati wa kipindi cha ubaguzi wa rangi.

Kule Argentina ndiyo hawataki kumsikia kabisaaa baada ya ile vita ya Falklands.

Pia nchini kwake wapo ambao hawakumpenda kama nilivyoeleza haya machache kwenye thread nyingine.

Kipindi cha Thatcher ndiyo kulikuwa na privatization kubwa.

Aliingia madarakani katika kipindi ambacho kinaitwa the "Winter of Discontent": Winter of Discontent - Wikipedia, the free encyclopedia

Utawala wake ulilienga zaidi kwenye free market and privatisation of state owned companies.

Ndicho kipindi ambacho makampuni makubwa kama British Airways, British Telecommunication yalikuwa privatised.

Kitu kikubwa ambacho Waingereza wengi hawampendi ni juhudi zake za kupunguza power na influence of trade unions.

Kuna sehemu nimesoma Nyani Ngabu anahoji kama walikuwa wanamchukia kwa nini waliendelea kumchagua mara tatu?

Alipoingia madarakani alikuwa very popular miaka mitano ya mwanzo.

Lakini umaarifu wake ulipungua kutokana na recession and unemployment.

Kama siyo vita vya Falkland mwaka 1982, asingechaguliwa tena kuwa prime minister mwaka 1983

Alichaguliwa tena mwaka 1987 lakini her poll tax made her very unpopular. Mwisho aliamua kujiuzulu mwaka 1990

One of the most damning charges laid against Thatcher was that she left millions of former manual workers on the scrapheap. One town's residents with perhaps a stronger claim to this than any other is Knowsley.

In Knowsley, Merseyside, North England, one resident says of Thatcher: "She destroyed Knowsley, she destroyed Merseyside, and we'll never forgive her for that"

The year after she was forced to resign, more than one in five adults here were out of the workforce, either through unemployment or long-term sickness.

Kama haya mazishi yangefanywa kaskazini ya UK asingehudhuria mtu. Procession ingerushiwa mawe. They hated her so much there.
 
652ce706a37cd684e196dfbbaf797210.jpg

Seems they loved her a lot, particularly in the North of the UK.

Check out this turnout at the big screen in Edinburgh, Scotland.

As the person who took this photo stood watching, a man walked past and remarked to him in a gruff Scottish accent "You can see how much we loved her here, can't you?

Who is to say that photo hasn't been doctored?
 
Jana wakati nasikiliza conservative radio ya mjini hapa walisema kuwa wamempeleka Michele Bachmann na Marsha Blackburn pia walilalamika kwanini Obama aliwapeleka former secretary of state wakati kwenye msiba wa Reagan wao (waingereza) walimleta Thatcha na Prime minister. Nancy Reagan aliletewa mwaliko lakini alisema hataweza kuhudhuria kwasababu ya uzee.

Siyo Marekani tuu. Pia Ufaransa na Ujerumani. Kwa mfano, Ufaransa hawakutuma hata a serving minister to the funeral.

The Conservatives wanted a big showdown and it all appears to have gone wrong.

With none of the main States sending their Presidents, sidhani kama wamefurahishwa na hili.

Even our President didn't bother? Or was he not invited?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom