ebu tuambie anayeongeaga ukweli? najua huna jibu umebaki kukodoa macho tu! ee kama unalo jibu ebu jibu sasa ni nani anaongeaga ukweli?Tangu lini marekani akaongea ukweli...hizo zote ni propaganda, na sisi waafrika tumekutwa hatuna akili, mambumbumbu! tunaamini chochote tunachoambiwa na wazungu
sioni msingi wa mashaka yako
Marekani yawaua Al-Shabab 150 - BBC SwahiliOndoa kelele zako zisizokua na maana yyte! Tunachotaka hapa tuletee ushahidi unaoonyesha hii taarifa ni ya kweli,na picha ili tuamini!
Marekani yawaua Al-Shabab 150 - BBC Swahili
Al-Shabab wakiri kushambuliwa na Marekani - BBC Swahili
kupinga bila ushahidi ni ujuha, ebu tupe ushahidi wa pingamizi lako
tupe ushahidi wa ukosoaji wako acha ujuha
lete bas hizo za ukweli za tbcmimi ndio nikupe ushahidi we vipi? Mimi huwa sifatilii chanel za kishenzi kama bbc,cnn, na hata aljazeera....aljazeera ya sasa sio ile ya kipindi kile ilikwa no 1, leo hii iko chini ya usa so usitarajie habari zao zote zikawa za kweli!
ebu tuambie anayeongeaga ukweli? najua huna jibu umebaki kukodoa macho tu! ee kama unalo jibu ebu jibu sasa ni nani anaongeaga ukweli?
lete bas hizo za ukweli za tbc
bila ushahidi huna haki ya kuongea, kwa kuwa umeongea lete ushahidi wa ulichoongea, kama umesema bila ushahidi basi wewe ni popoma. kama unao ushahidi lete hapamimi ndio nikupe ushahidi we vipi? Mimi huwa sifatilii chanel za kishenzi kama bbc,cnn, na hata aljazeera....aljazeera ya sasa sio ile ya kipindi kile ilikwa no 1, leo hii iko chini ya usa so usitarajie habari zao zote zikawa za kweli!
ndio mana mfumo wa gpa umefutwa mwenzako kaeleza vizur we unaleta virobakapita jeshi la sungusungu ndo anataka ajifananishe US army
Ushukuru sana we ni wa kike ningekuambia jambo baya sananani? huyo sungusungu mwenzio?!
mie na fuatilia zote ila mie sio kama wewe ambaye habari usiyoipenda unaipinga na kuita waliyoitoa ni waongo huku wewe hujui lolote kuhusu habari hiyo. huo ni ujuha
iliwazalo mjinga ndo litakalomtokea, unawaza kula mavi ya wazungu wa RT?! hiv kumbe huangalii cnn kwa kuwa rais wa nchi iliyoko cnn ni mweusi si mzungu na hivyo huwez kuka mavi yao?! umefika mbali sana huko asee, achaga inshu hizo bana au kama ni kula, kula ya wote. na weusi nasi ni watuπππ
Nyinyi ndio walewale mzungu akila mavi na wewe utafuata
Kwa hiyo kwa kua umepitia mafunzo ya kijeshi tukuamini wewe na huyo msemaji wa Al Shabaab ila tusiiamini Pentagon?
Na Osama mlisema hajafa ni uongo tu wa US ila mpaka leo simsikii tena!
Alaf umepitia jeshi au mgambo?